Jinsi ya kuflash nokia xpress music 5130

godfrey_avya

Senior Member
Feb 25, 2014
131
24
wakuu nimuchoka kupoteza pesa kwa mafundi simu, mwenye kufahamu softwere ambaayo kwa sasa inatmika kudounload firmweres na kuflash simu za nokia kwa USB cable anisaidie jinalake.

Nitashukuru wakuu.
 
download http://dc489.4shared.com/download/y...j.2e156af70f182960adfd0907a87ad743&isApi=true kisha download nokia pc suite http://fs41.filehippo.com/6815/6d4c8d1a29de46cf95b15a5c3bb51c1f/Nokia_PC_Suite_ALL.exe install ukimaliza download firmware yake nokia 5130c rm-495 v7.97([url]www.gsmflashing.com) - Download - 4shared - GSMFLASHING GSMFLASHING[/url] kisha weka kwenye BEST hyo program ya kuflashia ukiextract utakuta app inaitwa best kisha open kwenye upande wa kuflash utaona select model weka Rm-495 ya cm yako kisha kwa chini yake utaona CMU weka file ulilodownload kwenye firmware PPM weka na CNT weka weka file moja tu hizo PPM 2,3,CNT 2,3 ziache kisha flash setting weka full flash na weka deadmode zima simu toa battery kisha connect na USB kisha bonyeza flash weka battery inaweza ikanza kuflash kama itakuwa detected au jifanye kama unaiwasha yaan shikilia power button kidogo tu isiwake itaanza kuflash subiri imalize itawaka
 
Mi naomba mnisaidie kunipa mawazo juu ya komputa yenye ukubwa gan au Os gan inafaa katika issue za kuflash!
 
samahani kaka hii nokia pc suite naona linki yake imekuwa expired tunafanyaje kaka?
 
daaah me mwenyewe nahusika hapa na kinokia changu xpress music 5130 manake kila siku software inacorrupt
 
Mimi nimekaa na hiyo simu zaidi ya miaka 4 kwa hiyo matatizo yake nayafamamu Nilishaifkash kama mara 5 hivi. Kuflash simu hakusaidii sana. Utaitumia baada ya kuflash lakini baada ya muda tatizo linarudi pale pale. Suluhisho na chanzo cha tatizo soma hapa chini:
It is true that nokia 5130 is vulnerable to
viruses, but not in the sense that the viruses
will effect the phone. Viruses are .exe files or
programs that can only harm a device like a
personal computer(PC) which supports .exe
files. S40 mobiles like 5130 can never support
there files and hence are completly safe. The
problem you are facing might be due to the
following reasons,
1. Although .exe files can never harm this
mobile or any other mobile of its kind, they
usually take lots of space in the memory card.
These files cannot be deleted as they are
marked 'Read only' in the file properties, and
to top it up they are also marked 'hidden'. So
you can neither find it nor delete it.
2. This mobile supports themes. Whenever you
apply a theme, a cache file of these themes
remains in one of the system files of the
mobile. These cache files will keep on
increasing as as you keep on changing the
themes. These system files are very well hidden
and not even nokia pc suite can find these
files.
The solutions to the above problems are as
follows,
1. Download a java file explorer software from
the net. This software can find hidden files and
can also alter the properties of the files.
The .exe files should be found manualy
through the software and after finding the files
remove the 'read only' property of the file.
Then delete it. Do it for all .exe files. This will
definately increase the memory. Since the
software is a .jar file, so you can do this
process in the mobile itself.
2. Use Oxycube, it is a software like nokia pc
suite but more advanced. Go to download.com
and get this software for free. This software
can enter the system files. Hence making it
easy to delete the cache files. The first
problem can also be solved through this
software.
Gosh.... Its a huge comment...thanks for
reading.

(Niliweka url ikagoma kufunguka kwa hiyo nimeamua kupaste maelezo ya msingi tu)
 
Mimi nimekaa na hiyo simu zaidi ya miaka 4 kwa hiyo matatizo yake nayafamamu Nilishaifkash kama mara 5 hivi. Kuflash simu hakusaidii sana. Utaitumia baada ya kuflash lakini baada ya muda tatizo linarudi pale pale. Suluhisho na chanzo cha tatizo soma hapa.

kaka hiyo url yako mbona haiko active??
 
kaka hiyo url yako mbona haiko active??

Ni kweli url haifunguki nimejaribu mara kadhaa kupaste na kufungua bila mafanikio, internet yenyewe ya kuvizia. Kwa hiyo nimeamua kupaste maelezo ya msingi tu hapo juu kwenye post yangu.
 
Mimi nimekaa na hiyo simu zaidi ya miaka 4 kwa hiyo matatizo yake nayafamamu Nilishaifkash kama mara 5 hivi. Kuflash simu hakusaidii sana. Utaitumia baada ya kuflash lakini baada ya muda tatizo linarudi pale pale. Suluhisho na chanzo cha tatizo soma hapa chini:
It is true that nokia 5130 is vulnerable to
viruses, but not in the sense that the viruses
will effect the phone. Viruses are .exe files or
programs that can only harm a device like a
personal computer(PC) which supports .exe
files. S40 mobiles like 5130 can never support
there files and hence are completly safe. The
problem you are facing might be due to the
following reasons,
1. Although .exe files can never harm this
mobile or any other mobile of its kind, they
usually take lots of space in the memory card.
These files cannot be deleted as they are
marked 'Read only' in the file properties, and
to top it up they are also marked 'hidden'. So
you can neither find it nor delete it.
2. This mobile supports themes. Whenever you
apply a theme, a cache file of these themes
remains in one of the system files of the
mobile. These cache files will keep on
increasing as as you keep on changing the
themes. These system files are very well hidden
and not even nokia pc suite can find these
files.
The solutions to the above problems are as
follows,
1. Download a java file explorer software from
the net. This software can find hidden files and
can also alter the properties of the files.
The .exe files should be found manualy
through the software and after finding the files
remove the 'read only' property of the file.
Then delete it. Do it for all .exe files. This will
definately increase the memory. Since the
software is a .jar file, so you can do this
process in the mobile itself.
2. Use Oxycube, it is a software like nokia pc
suite but more advanced. Go to download.com
and get this software for free. This software
can enter the system files. Hence making it
easy to delete the cache files. The first
problem can also be solved through this
software.
Gosh.... Its a huge comment...thanks for
reading.

(Niliweka url ikagoma kufunguka kwa hiyo nimeamua kupaste maelezo ya msingi tu)
asante kaka kwa msaada wako
 
Back
Top Bottom