godfrey_avya
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 131
- 24
wakuu nimuchoka kupoteza pesa kwa mafundi simu, mwenye kufahamu softwere ambaayo kwa sasa inatmika kudounload firmweres na kuflash simu za nokia kwa USB cable anisaidie jinalake.
Nitashukuru wakuu.
Nitashukuru wakuu.