Jinsi ya Kuepuka Kuibiwa Mafuta Unapojaza.....

Hii ya kidumu kuna "sheli" flani hivi maeneo ya Tegeta waligoma kuniwekea kwenye kidumu. Nilipowauliza kwanini wakanambia ni kwa sababu za kiusalama... nami kwa sababu za kiusalama nikaondoka salama na fedha yangu ikiwa salama...

Sitakagi ujinga kwenye usalama wa pesa yangu... malabuku zao na nusu!!
Ha ha ha ha ha
 
Mimi huwa natumia njia ya pili ya kuweka kwenye kidumu,sasa huwa nawaacha wahudumu hoi sana,maana nilivyo na ninavyofanya sifananii kabisa.(maana nipo kibosi bosi )
Umesha notice ukitumia njia hii wale wahudumu huwa wana nuna!
 
Ile ya kujaza upepo ni myth tu. Ila kuna pump zimechezewa au zina muda mrefu hazijanyiwa calibration hivyo unaweza kukuta yenyewe kwenye lita 1 inajaza 700ml etc.

Wakala wa vipimo anahusika hapa.
Mkuu cheki ya kujaza upepo ilivyo
 
Attachments

  • VID-20161207-WA0030.mp4
    923.8 KB · Views: 57
Sasa nimeelewa kwa nini baadhi ya vituo vya mafuta hujaa sana magari mpaka kupanga foleni (huwa nashangaa sana) wakati vingine vinakuwa na gari moja au hakuna kabisa.

Huwa najiuliza hawa watu hawana shughuli za kufanya mpaka kupanga foleni ya kujaza mafuta?

Na mimi nisivyopenda msongamano huwa naenda vile visivyokuwa na magari
Kuna pale GBP sinza na Victoria naonaga magari hayakatiki..

Ni vizuri kuwa na kituo chako unachokiamini pia kuepuka kuweka mafuta usiku..
 
Mkuu cheki ya kujaza upepo ilivyo
Duh...kwahio hapo ana uwezo wa kujaza mafuta halafu anabana haijazi kitu ila inahesabu tu?!! Aisee...halafu hio ni India au Pakistan?
 
Hii ya kidumu kuna "sheli" flani hivi maeneo ya Tegeta waligoma kuniwekea kwenye kidumu. Nilipowauliza kwanini wakanambia ni kwa sababu za kiusalama... nami kwa sababu za kiusalama nikaondoka salama na fedha yangu ikiwa salama...

Sitakagi ujinga kwenye usalama wa pesa yangu... malabuku zao na nusu!!
Hhaahhahaaa
 
umenichekesha sana
 
Juzi kwenye ka starlet kangu nimeweka petrol ya elfu 20 pale oryx nyakahoja gauge ikagoma kushtuka nikajua itapanda tu huyooo nikaset km baada ya 58km ikazima kumbe walinikata mi nilizoea ya elfu 20 napiga 120 ,km Happ naugulia maumivu
 
Hii ya kidumu kuna "sheli" flani hivi maeneo ya Tegeta waligoma kuniwekea kwenye kidumu. Nilipowauliza kwanini wakanambia ni kwa sababu za kiusalama... nami kwa sababu za kiusalama nikaondoka salama na fedha yangu ikiwa salama...

Sitakagi ujinga kwenye usalama wa pesa yangu... malabuku zao na nusu!!
Hahaha umetisha
 
Juzi nilimwambia jamaa aweke ya 40,000 na alipomaliza kama Mungu nikashuka na kuangalia nikakuta ameweka ya 20,000/= nilipomuuliza mbona hajaweka ya arobaini alishtuka na kusema alijua ndiyo niliyomuagiza.

Nikamwambia aongeze ya ishirini ila sikumwona kufuta zile namba na kuanza tena 00000.
Duh.!
 
Hii ya kidumu kuna "sheli" flani hivi maeneo ya Tegeta waligoma kuniwekea kwenye kidumu. Nilipowauliza kwanini wakanambia ni kwa sababu za kiusalama... nami kwa sababu za kiusalama nikaondoka salama na fedha yangu ikiwa salama...

Sitakagi ujinga kwenye usalama wa pesa yangu... malabuku zao na nusu!!
Dah.!
 
Back
Top Bottom