Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,230
yeah, it WORKS!!
Tu hakikisha power button ya kingamuzi ile ya nyuma, iko off,
halafu bonyeza power button ya remote ile nyekundu mara 5,
Subiri kama sekunde 3 kingamuzi kinawaka na kuonyesha neno OTA
then kwa chini kuna kibox, weka ile code, 671 futa ile ya 506
hivyo tu, mie changu ni cha **times cha antena kimekubali na sijalipia tangu may
Now najaribu cha **ing ntaleta feeds