Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,219
- 12,534
Acha uwongo ndugu.Habari jamii forum
Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam,huu ni sehemu wa mstari kutoka kitabu cha mwanzo ikionesha mwanaume ndiye kiumbe wa mwanzo na ndiye mwenye mamlaka ya kutawala ulimwengu.
Malalamiko ya wanaume wengi kunyanyaswa ni mengi,vilio na kukosa kujiamini ni kwingi
Lakini Kasi ya wanawake kutaka Uhuru wao nayo ni kubwa si mijini si vijijini,hali ya dharau na kujiamini Kwa mwanamke imeshika kasi.
Lakini hata yoooote kabla hatujalaumu utawala wa kimagharibi kama wengi tunavyodhani je Mwanaume wa kiafrika upo na misingi ileile au ndiyo
Ukikuta meseji unalia,
Mwanamke asipopokea simu unalia,
Ukiguswa Tu kidogo unalia,
Huna mipango,huna chochote cha kujifanya mwanamke ajivunie kuwa na wewe.
Miaka nenda Rudi mwanaume ni mtawala ,ni kiongozi anaheshimika na familia na kuogopwa ikibidi,
Mwanaume akiongea Kwa ukali familia nzima inatetemeka inajua Leo Baba kavurugwa.
Lakini siku hizi mwanaume Hana nguvu ,nyumba si yake,kila kitu ni cha mwanamke,analea watoto si wake na hajui hapo ndipo mwanamke anahisi anaishi na houseboy tu na si mume.
Ni jambo la aibu na lisilovumilika mtu kuishi ukweni au sehemu anapomiliki mwanamke,watu wa hivi ndiyo waliotoa pasi mbovu na sasa ni kama tunaelemewa,mamlaka yetu yananajisiwa Kwa kigezo cha usawa ndipo tulipofeli
Dunia ilikosea na kukosea kumpa mamlaka mwanamke,Dunia hazijawahi kuwa na chief mwanamke mababu zetu waliishi kwenye empire zao kukiwa hakuna mtawala wa kike .
Myself sijawahi kufurahishwa wala kufagilia maamuzi yeyote kutoka Kwa jinsia Ke ,hata nyumbani kwangu naishi Kwa misingi ya nguvu na nishatoa onyo mtu yeyote atakaye taka usawa nyumbani kwangu hakika ataonja jiwe la Moto (kwanza anaanzaje)
Ipo siku isiyo na jina heshima yetu itarudi hata Kwa kutumia nguvu.
Mwanaume gani huyo eti akikuta meseji analia, wa wapi?