Jinsi wanaume dhaifu walivyoharibu utaratibu wa kiafrika

Jack Daniel

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
3,145
13,839
Habari jamii forum

Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam,huu ni sehemu wa mstari kutoka kitabu cha mwanzo ikionesha mwanaume ndiye kiumbe wa mwanzo na ndiye mwenye mamlaka ya kutawala ulimwengu.

Malalamiko ya wanaume wengi kunyanyaswa ni mengi,vilio na kukosa kujiamini ni kwingi

Lakini Kasi ya wanawake kutaka Uhuru wao nayo ni kubwa si mijini si vijijini,hali ya dharau na kujiamini Kwa mwanamke imeshika kasi.

Lakini hata yoooote kabla hatujalaumu utawala wa kimagharibi kama wengi tunavyodhani je Mwanaume wa kiafrika upo na misingi ileile au ndiyo

Ukikuta meseji unalia,
Mwanamke asipopokea simu unalia,
Ukiguswa Tu kidogo unalia,
Huna mipango,huna chochote cha kujifanya mwanamke ajivunie kuwa na wewe.

Miaka nenda Rudi mwanaume ni mtawala ,ni kiongozi anaheshimika na familia na kuogopwa ikibidi,
Mwanaume akiongea Kwa ukali familia nzima inatetemeka inajua Leo Baba kavurugwa.

Lakini siku hizi mwanaume Hana nguvu ,nyumba si yake,kila kitu ni cha mwanamke,analea watoto si wake na hajui hapo ndipo mwanamke anahisi anaishi na houseboy tu na si mume.

Ni jambo la aibu na lisilovumilika mtu kuishi ukweni au sehemu anapomiliki mwanamke,watu wa hivi ndiyo waliotoa pasi mbovu na sasa ni kama tunaelemewa,mamlaka yetu yananajisiwa Kwa kigezo cha usawa ndipo tulipofeli

Dunia ilikosea na kukosea kumpa mamlaka mwanamke,Dunia hazijawahi kuwa na chief mwanamke mababu zetu waliishi kwenye empire zao kukiwa hakuna mtawala wa kike .

Myself sijawahi kufurahishwa wala kufagilia maamuzi yeyote kutoka Kwa jinsia Ke ,hata nyumbani kwangu naishi Kwa misingi ya nguvu na nishatoa onyo mtu yeyote atakaye taka usawa nyumbani kwangu hakika ataonja jiwe la Moto (kwanza anaanzaje)

Ipo siku isiyo na jina heshima yetu itarudi hata Kwa kutumia nguvu.
 
Lakini siku hizi mwanaume hana nguvu: nyumba si yake, kila kitu ni cha mwanamke, watoto si wake, mwanamke anahisi anaishi na house boy tu!

Umepigilia msumari wa moto!Mimi nadhani wanaume tutimize majukumu yetu! La kwanza zalisha watoto, la pili uwe na nyumba hata kama ni mbaya, la tatu fanya kazi ulishe familia na tupunguze uzungu!
 
Sifa ya mwanaume ni kufanya kazi Kwa bidii na kuwa kiongozi,ikiwa huna mipango yenye ushawishi
Lakini siku hizi mwanaume hana nguvu: nyumba si yake, kila kitu ni cha mwanamke, watoto si wake, mwanamke anahisi anaishi na house boy tu!

Umepigilia msumari wa moto!Mimi nadhani wanaume tutimize majukumu yetu! La kwanza zalisha watoto, la pili uwe na nyumba hata kama ni mbaya, la tatu fanya kazi ulishe familia na tupunguze uzungu!
 
Siku hizi wanawake wamepewa kipaumbele kuliko wanaume.
Sheria za siku hizi zinamfavour mwanamke na kumdhulumu mwanaume na sio kwamba wanaume wamekuwa wanyonge kwa kupenda kwao.
Mkuu licha ya hayo wanaume wote tukiungana na kuwa na jamii ya aina moja tunarudisha heshima yetu , Tatizo vijana wavivu wamekuwa wengi mtu yupo tayari kuvumilia matusi na kejeli ili mradi anapatq anachotaka kutoka Kwa mwanamke
 
Ndiyo hapo mkuu
Wanaume tuache mtelemko, ukila cha mwanamke tayari unampa mamlaka yako anajiona yuko juu anakupelekesha anavyojisikia so kuepuka hilo oa mama wa nyumbani ni rahisi kumtawala kuliko carrier feminist
 
Tuna kizazi legelege sana cha amapiano na shisha, kusuka,kuvaa hereni na peni pamoja na kugombania dressing table na dada zao
 
Lakini siku hizi mwanaume hana nguvu: nyumba si yake, kila kitu ni cha mwanamke, watoto si wake, mwanamke anahisi anaishi na house boy tu!

Umepigilia msumari wa moto!Mimi nadhani wanaume tutimize majukumu yetu! La kwanza zalisha watoto, la pili uwe na nyumba hata kama ni mbaya, la tatu fanya kazi ulishe familia na tupunguze uzungu!
Akianza kugongwa nje tu!kirusi kinaingia ndani hata uhudumie vipi atawaambia wote kwamba hutoi matumizi Kwa familia na watoto wanaambiwa na majirani Hadi housegirl ataambiwa"uwe makini kwenye matumizi kwasababu Mimi ndio natoa matumizi humu ndani"!!!

Chumvi ikiharibika utafanya Nini Hadi ikolee!!?Yesu mwenyewe aliuliza hili swali!na mwanamke Akishaharibika hakuna Cha kufanya zaidi ya kujaribu upya!!
 
Kizazi kilishaharibika kitambo

Zamani mwanamke kutoka nje ya ndoa ilihesabika kama laana kwenye ukoo
 
Adui wa mwanaume ni mwanaume. Asilimia 90 ya magari tanzania yanaendeshwa na wanaume huku asilimia 90 ya wanaotembea kwa miguu umbali mrefu kwa kukosa nauli ni wanaume.

Asilimia kubwa ya walio kwenye sekita za kuajiri ni wanaume ila asilimia kubwa ya wenye sifa ya kuajiriwa wakiwa wamenyimwa hizo ajiri ni wanaume. Haki za wanawake zinapiganiwa na wanaume wa juu kuwakandamiza wanaume wa chini. Wamiliki wa vituo vyote vya mafuta ni wanaume mbona wapima mafuta siku hizi wote ni wanawake ni kwanini. Hakuna mwanamke anayeweza kujipambania zaidi ya kupambaniwa na mwanaume aliyemteka kwa mbunye kisha matokeo ya ushindi anatangazwa yeye
 
Back
Top Bottom