Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 668
- Thread starter
- #21
....isolationist utawajua,na majungu hayawafikishi popote inabidi muangalie fact kenya inaongoza kwa kuweka investment TZ kuliko nchi zote na mnategemea wakenya wasionekane mitaani kwetu,anzeni kwanza kukataa mali zao ndio mlete hizo story...mnachojua matatizo yenu ya njaa na usalama ni kuwalaumu wakenya tuu,....acheni roho mbaya kama ni ujambazi angalieni statistics wanaoongoza kwa ujambazi ni watanzania wenyewe na wala sio wakenya
Hizo mali na Investment za Kenya mnawapa WTZ bure? Kama kununua WTZ watanunua popote pale ulimwenguni. Haya sisi tunaongoza kwa ujambazi sasa pilipili iliyo bongo umawawashia nini? Nendeni muungane na Museveni anawalilia.
http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=70929#post70929