Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,678
- Thread starter
- #41
Ha ha ha,lakini kuna factors nyingi zinazosababisha fuel consuption kuwa tofauti na mazoea,moja wapo ni foleni ya muda mrefu na pia mwendo wa kutumia gear kubwa yaani below 30km/h.Mimi nawaambiaga tu weka full huku nikihakikisha inaanza kusoma kwenye zero baada ya hapo nasinzia nakuja kuamshwa wameshajaza...nafuta kilometers kuanzia zero zikifika 390km naenda tena...ole wao isifike 390km wananijua maana gauge ilishakufa
Pia acceleration inayopelekea speed ya above 90km/h, labda uwe na speed yako maalum na unajua hukai foleni.