Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,778
Mimi nilikuwa ninasafiri nimecheck in nikaamua nipate bia kidogo air port Enzi hizo. Ile bia ilikuwa tamu nilshtuka kusikia vipaza sauti vya airport vikisema 'abiria Sky Eclat mizigo yake inashushwa anaichelewesha ndege' ndiyo kukimbia sijafika mbali ninastuka kibofu kimejaa. Ile adhabu kwa kweli.