Jinsi ninavyopunguza uzito na mafuta ya mnyonyo

Unene mwingine ni asili Wala sio kula, tunajubana wapi hatupungui...
Unene wa asili? There is no such thing.

Unene tafsiri yake ni chakula cha ziada kilicho kosa kazi mwilini, Hivyo! as long as unaendelea kula bila kuchukua tahadhari huwezi tatua tatizo.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Hakika sipendi unene, ila ndio ivyo unakujaga tu wenyewe.

Ila uzuri mimi sina kitambi ila ndo hivyo nimeongezeka uzito.

Ili kupunguza uzito basi hutumia mafuta ya mnyonyo nakunywa kijiko kimoja kwa wiki mara mbili nalamba na ndimu na baada ya muda nakunywa maji vuguvugu.

Sasa huu mziki nilianza nao jana jamani niliharisha ila haikuwa sana.

Nilivyo mbishi nikaamka nao tena nikanywa tena leo aisee nimeharisha mara nyingi.

Ikumbukwe kuwa ukinywa haya mafuta usitoke kwenda mahali ukae ndani.

Usisahau pia kunywa maji kwa wingi ila ya uvuguvugu ili uchafu utoke.

Na ukitaka kukata kunywa maji baridi...

Sasa hapa najipa wiki 2 tu narudia kamwili kangu kazuri...

Hata kama hupunguzi uzito unaweza ukawa unakunywa kwa kusafisha tumbo

NB: kama unajua unamatatizo ya kupungukiwa maji au unamagonjwa makubwa usinywe...

Nitaleta mrejesho
Kuharisha kwake balaa.
 
Kijiko ni kimoja tu...

Kwa wiki mara 2
vijiko viwili at once alafu unywe supu au uji hapo hapo wacha wee usitoke karibu na choo kwa muda wa masaa mawili + yaani fanya siku ambayo sio ya safari maana utaaibika. Na ukienda sio kwa sauti hiyo mara 𝐏𝐚𝐫𝐚𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐚𝐚𝐚𝐚, 𝐜𝐡𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢, 𝐩𝐚𝐫𝐚𝐩𝐚𝐫𝐚𝐩𝐚𝐫𝐚𝐩𝐚𝐫𝐚, 𝐩𝐮𝐮𝐮𝐡! 𝐩𝐮𝐮𝐮𝐡!𝐩𝐮𝐮𝐮𝐮𝐡! 𝐩𝐰𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚! 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐤𝐢𝐢𝐟𝐮 𝐤𝐢𝐢𝐟𝐮 𝐭𝐨𝐨𝐟𝐮 𝐭𝐨𝐨𝐟𝐮 𝐭𝐨𝐨𝐟𝐮. 𝐍𝐣𝐨𝐨 𝐏𝐌 𝐧𝐤𝐮𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞
 
Haya mafuta ya mnyonyo yapo ya aina nyingi, Kuna ya nywele pia, hivyo inabidi uende pharmacy ndio yanauzwa haya ya kunywa...
𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐣𝐮𝐮, 𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐢 𝐝𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐲𝐰𝐞𝐥𝐞 𝐩𝐢𝐚 𝐡𝐮𝐭𝐢𝐛𝐮 𝐡𝐚𝐝𝐢 𝐮𝐩𝐚𝐫𝐚
 
vijiko viwili at once alafu unywe supu au uji hapo hapo wacha wee usitoke karibu na choo kwa muda wa masaa mawili + yaani fanya siku ambayo sio ya safari maana utaaibika. Na ukienda sio kwa sauti hiyo mara 𝐏𝐚𝐫𝐚𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐚𝐚𝐚𝐚, 𝐜𝐡𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢, 𝐩𝐚𝐫𝐚𝐩𝐚𝐫𝐚𝐩𝐚𝐫𝐚𝐩𝐚𝐫𝐚, 𝐩𝐮𝐮𝐮𝐡! 𝐩𝐮𝐮𝐮𝐡!𝐩𝐮𝐮𝐮𝐮𝐡! 𝐩𝐰𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚! 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐩𝐫𝐢𝐜𝐡𝐢 𝐤𝐢𝐢𝐟𝐮 𝐤𝐢𝐢𝐟𝐮 𝐭𝐨𝐨𝐟𝐮 𝐭𝐨𝐨𝐟𝐮 𝐭𝐨𝐨𝐟𝐮. 𝐍𝐣𝐨𝐨 𝐏𝐌 𝐧𝐤𝐮𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞
we kweli unajua balaa lake
 
20231023_214054.jpg
 
Back
Top Bottom