Nsaji wa Lila
Senior Member
- Feb 1, 2021
- 118
- 152
Hiyo stori ina funza sana. Hata mimi moja ya jamaa yangu alinasa kwa kahaba. Naogopa kusema malaya maana ni shemeji yangu sasa
Haya mambo aisee yanatokeaga sana tu. Makahaba baadhi wanafanya ukahaba sio kwa kupenda bali ni kutokana na changamoto za kimaisha.
Wengine hawana tumaini tena maishani, wameangukia humo.
Ila ni watu poa sana. Wanajua wanachokifanya, ukiwapa heshima wanayostahili na wao watakupa heshima unayostahili.
Utawaambia nini?? Kila kitu wanajua. Wakiamua kutulia wanatulia kweli.