engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,355
- 1,330
Mbowe ni Lumumba part 2,rushwa tupu.
Huyu anayechua pesa kwa CCM Kwakuwa chama kimempa umaarufu ni sawa?Lissu ndio anafanya siasa za kipuuzi kutukana chama kilichompa umaarufu.
Lissu alimualika Abdul nyumbani kwake wakubaliane nini?Mbowe 9bn za CAS kapeleka wapi?
Mbowe ni millionea aliyemualika Abdul nyumbani kwake ndio anavizia pesa za CCM akipewa ndogo anasusa anaanza chafua wenzie.Huyu anayechua pesa kwa CCM Kwakuwa chama kimempa umaarufu ni sawa?
Lissu ni mbaya wa Chadema lengo lake ni kuibomoa chadema. Anajua hashindi uongozi ila kaamua avuruge chama.Umeandika Vibaya na umemlisha maneno Mbowe huku ukimtia Ubaya Lissu, hukufanya kwa haki
Lissu ndio anaungwa mkono na CCM.Wanaccm wanapomuunga mkono Mbowe kwenye huu uchaguzi ndio tunapozidi kupata shaka kilicho nyuma ya pazia.
Si kweliLissu ni mbaya wa Chadema lengo lake ni kuibomoa chadema. Anajua hashindi uongozi ila kaamua avuruge chama.
Mbowe ataachia chama kwenye box la kura. Lissu asubiri sanduku la kura Mbowe apige kwenye mshono.KWA NINI MBOWE HATAKI KUACHIA UENYEKITI WA CHADEMA
Mbowe ni Mwanachama pekee asiye na hasara ndani ya CHADEMA na mnufaika Mkuu japo wengi hawaoni kwa macho ya kawaida na anatumia mbinu zifuatazo;
1. Pesa yake yoyote ile anayoitumia ndani ya CHAMA inaandikwa kama mkopo na CHAMA kikipata fedha kwa njia ama ya Ruzuku, Chadema Digital ama Join the Chain analipwa kama mfadhiri wa chama.
Kama Mbowe yeye kila pesa yake anayoitumia ndani ya CHADEMA analipwa kama deni na anaitwa mfadhiri wa chama; sisi wengine anaotuita wabangaizaji ni nani anatulipa hizo chenji zetu za jero jero ambazo tunaamua kushinda ama kulala njaa ili tuki-support chama?
Hakika haya ni mambo ya aibu sana yasiyovumilika kwa kila mpenda mabadiliko wa nchi hii.
2. Mbowe ndiye Mwanachama pekee wa CHADEMA ama wa upinzani kwa sasa anayeweza kuipinga Serikali ya CCM hadharani; na ASITEKWE wala kuumizwa mwili wake hata kwa rungu ama jiwe na dola hii ya CCM ama huyu Mbowe hajawahi kupata athari yoyote ile kutokana na kukaa kwake gerezani kwa sababu; Mbowe akipelekwa gerezani inakuwa fursa ya kuweka sawa mipango yao na watu wa dola na mipango ikishakaa sawa anatolewa na anaambiwa aandike hasara zake zote alipwe na serikali na kweli analipwa.
Kama ni uongo, Mbowe atoke hadharani akatae kama hajalipwa Mabillioni ya Shilingi na Serikali ya CCM kama fidia ya hasara za kisiasa. Haya yote ni yanatokea hivi kwa sababu; Mbowe ni; mwenzao tangu enzi japo tulipoteza muda wetu mwingi sana kumuamini pasipo kujua.
Tazama Tundu Lissu anavyohangaika kudai hata hayo madai yake ya halali aliyotibiwa kama Mbunge baada ya kumuumiza vibaya sana kwa risasi za moto.
Kwamba, wapo tayari kumhonga Lissu Mabillioni ya Shilingi kupitia kwa Wenje na Abdul, lakini hawako tayari kumlipa gharama zake za matibabu ambazo ni halali yake kwa mujibu wa sheria za nchi.
3. Mbowe ni Mwanachama pekee ndani ya CHADEMA ambaye hajawahi kuishi nje ya nchi kama MKIMBIZI kutokana na usalama wake kuwa hatarini wala familia yake haijawahi kupata msukosuko kama ambavyo tunaona kwa wapinzani wa kweli walio committed kutaka CCM iondoke madarakani kama akina Godbless Lema na huyu Tundu Lissu.
Unahisi ni kwa nini Mbowe na familia yake hawajawahi kupata msukosuko serious wa kuwalazimu kuikimbia nchi ili hali na yeye anaikisoa serikali? Jibu liko Behind the Scene. Tuendelee kunywa mchuzi, nyama ziko chini.
Garatwa Francis,
Sauti ya wasio na Sauti.
29 Desemba, 2024.
Sisi wajumbe tunajua tunaenda na nani mbowe akapumzike na delilaMbowe ataachia chama kwenye box la kura. Lissu asubiri sanduku la kura Mbowe apige kwenye mshono.
Mtapigwa Hadi mchakaeFreeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga.
Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif.
Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali kwa ajili ya kuendesha na kujenga chama.
Ana maono ya hali ya juu hapa wakati nyinyi mnabishana na kuiangalia 2025 yeye Mbowe anaitazama zaidi 2030.
Ana wafuasi watiifu na wenye kumpenda kwa dhati na wako tayari kumuunga mkono kwa lolote.
Ana ujasiri na maamuzi magumu ambayo wengi huja kuyaelewa mwishoni ( hata ili la Lissu mtamuelewa baadae).
Ni mbunifu sana ndio maana amekuwa kwenye siasa za upinzani kwa muda mrefu bila kuchuja wala kuboa na bado anahitajika sana.
Pia ni team player anaeweza kujenga timu na kuwaunganisha watu wa aina tofauti tofauti, pale chadema kuna vichaa wengi sana ila anawamudu vizuri sana na anasikilizwa na wote.
Mbowe ndio Chadema na Chadema ni Mbowe. Hakuna chadema bila Mbowe. Kama kuna mtu anaona tofauti na hili basi akapimwe akili.
Kuhusu Lissu, huyu mwanahakati hafai na hana uwezo wa kuongoza chama kikuu cha upinzani. Lissu ni wale wanasiasa wanapewa maiki jukwaani na kuanza kushambulia watu hajui ilo jukwaa limetoka wapi, hajui umati umejaa pale zimetumika efforts zipi, hajui mafuta ya magari yametoka wapi yeye ni mzuri wa kushambulia sio kujenga. Ndio maana hana history yoyote ya kufanya jambo la kujenga.
Ataenda kuangushwa vibaya sana na Mbowe kwa kura za halali kwa kuwa Chadema wanajua umuhimu wa Mbowe na awapo tayari kumsaliti wanajua alipowatoa wanajua namna alivyokijenga chama.
Lissu anatembelea huruma ya wanaharakati lakini kiuhalisia hajui lolote kuhusu leadership. Matatizo yote ndani ya chadema yeye alishiriki kikamilifu kuyatengeneza na ameumiza wengi sana pale. Kampeni zake zinafata mfumo wake ule ule kubomoa sio kujenga.
Najua wengi mna wasiwasi maisha ya chadema bila Lissu na kundi lake la wasaliti. Mbowe ni legend anajua anachofanya huyo Lissu nje ya chadema ni kama Mtikila tu atakuwa anafurahisha genge na kushambulia watu baaasi, hatakuwa na relevance yoyote mnamuona wa muhimu sababu ya brand ya Chadema.
Chadema imejiandaa kuwa chama cha siasa Mbowe kachoka maisha ya wanachama kuwa magerezani wengine kupoteza maisha hataki tena hiyo dhambi. Anataka chadema kiwe ni chama mbadala hata mtu aliye CCM anaweza kuingia na kufanya siasa zake bila nongwa za kina Lissu yani mfano leo umpate January au Warioba alafu anatokea mnoko kama Lissu anaanza kukwamisha wakati lengo ni kukamata dola.
Lissu apige kelele za mwisho mwisho, sasa hivi Mbowe ananoa bisu lake ifikapo January 21 watu wanakamata shingo anaelekezwa kibra kwa ajili ya kufanya sadaka ya kafara chama kipate uhai mpya.
NB: Nasikia ukikutana na Mbowe sasa hivi wimbo wake pendwa ni mtoto kautaka mtoto kautaka 🎵🎵
Wajinga waliisha enzi za TYL.Lissu ndio anaungwa mkono na CCM.
Lissu hapati kura 100 kwenye kura 1200.Sisi wajumbe tunajua tunaenda na nani mbowe akapumzike na delila
Mbowe asipewe lawama akianza kukata shingo uyo mnyaturu kayataka mwenyeweMtapigwa Hadi mchakae
Nakwambia Lissu sio mtu wa maana sana pale chadema kama wapambe wake wanavoamini. Ndio maana Mbowe anamchukulia kama mjinga mwingine yoyote anajua sio muda atatafuta mlango wa kutokea.Wajinga waliisha enzi za TYL.
Ni mjinga tu ndio atabeba na kuamini hiki ulichoandika.
Ndio maana nakwambia wajinga waliisha enzi za TYL hujanielewa?Nakwambia Lissu sio mtu wa maana sana pale chadema kama wapambe wake wanavoamini. Ndio maana Mbowe anamchukulia kama mjinga mwingine yoyote anajua sio muda atatafuta mlango wa kutokea.
Mimi pia Nina mawazo kama hayo . Siyo uadui kugombea nafasi hizo na Cha muhimu CHADEMA waandae uchaguzi HURU na WA haki ili kila aliyeshinda Kwa haki apatikane na uwe uchaguzi wa mfano wa kuigwa.Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga.