Y Young fadson JF-Expert Member Nov 6, 2017 1,091 1,328 Tuesday at 8:58 PM #3 Mda ukifika atakutafta, au unataka ujiue maana vijana mmekua soft sana nowadays
Mama Mwana JF-Expert Member Jun 6, 2023 1,962 6,648 Tuesday at 9:00 PM #4 sasa sisis tufanye nn juu ya hiyo story yako?
Hope urassa JF-Expert Member Aug 22, 2017 4,108 10,377 Tuesday at 9:04 PM #5 Saidia yatima mkuu hamna namna Sasa tusemaje
The Humble Dreamer JF-Expert Member Oct 12, 2015 7,531 10,462 Tuesday at 9:06 PM #6 Mama Mwana said: sasa sisis tufanye nn juu ya hiyo story yako? Click to expand... Tumpe hongera amepambana na kurudi kwenye kipato kizuri, Au wewe unaonaje
Mama Mwana said: sasa sisis tufanye nn juu ya hiyo story yako? Click to expand... Tumpe hongera amepambana na kurudi kwenye kipato kizuri, Au wewe unaonaje
Mr Devil JF-Expert Member Jul 7, 2019 11,899 26,562 Tuesday at 9:08 PM #7 Mtoto wa kiume una lia lia kisa mtoto na mapenzi.
0 0830x Member Aug 28, 2024 28 46 Tuesday at 9:08 PM Thread starter #8 Orketeemi said: Mbona kama hujielewi? Click to expand... Kwa nini?
S Sinwar nasrallah JF-Expert Member Oct 19, 2024 298 735 Tuesday at 9:11 PM #9 Tafuta mtoto mzuri wa kumtia akili itakaa sawa