Alipigania ukweli kuwa Lowassa ni fisadi, halafu akabadili msimamo.Mh Tundu Lissu ni "TASWIRA" ya msomi anaepigania kile ambacho anakiamini kwa maslahi ya umma.
Siku zote usomi humtia mtu kiburi na jeuri ya kupigania haki.
Hujaelewa mada. Pole.Lissu alichaguliwa na wote? Yaani 100%? Huoni kwamba hawatendei haki waliomnyima kura? Kama unadharau kwa uchache wso, kwani Ukawa siyo wachache bungeni? Kwa nini wasikubali maoni ya wengi?
Kawaulize wana CCM wenzio watakupa habari yakeLete data za uchaguzi uone alivyochomoka kwa bahati. Kuna wabunge wa jimbo na wabunge wa media. Fikiri
Umeona makasmanda wenzio wanavyopambana kutetea ushoga?Kawaulize wana CCM wenzio watakupa habari yake
Tundulis alikuwa miongoni mwa wabunge ambao waliwekewa mikakati mkuwa na CCM ili wacrudi bungen. Baht mbya cjui nzur wakapenya ndyo ikabidi CCM wafiche bunge wacje endelea kuumbuliwa kama kwenye awamu ya 4.Ukubalikaji wake ndani ya jimbo lake hakupimwi kwa ngonjera ama kusikia sikia.Kipimo kizuri ni ushindi anaoupata dhidi ya wenzake kipindi cha uchaguzi.
Kwenye uchaguzi uliopita Tundu Lisu alisha kwa ushindi mwembamba sana.Sikufanikiwa kuweka maandishi lakini kwa kumbukumbu yangu yakichwani ushindi wake haukuzidi kura 3000.Ushindi wa namna hii huwezi sema huyu mtu amejipanga kwani naamini kama CUF wangesimamisha mgombea tusingekua naye Bungeni.
Kifupi naweza sema huyu ni mbunge wa taifa sio jimboni wake kwani inaonesha kukubalika kitaifa zaidi kuliko jimboni.
Alipigania ukweli kuwa Lowassa ni fisadi, halafu akabadili msimamo.
Makasmanda ndio watu gani ?Umeona makasmanda wenzio wanavyopambana kutetea ushoga?