huyo wa iringa niliona tangazo lake I phone six plus mpyaaa anauza laki 3 tu... nikacheka sana nikajua huyu mjanja mjanja
bei zake ni too good to be true.. ili watu wajae
bei zake ni too good to be true.. ili watu wajae
Kupatana asilimia kubwa ni matapeli, labda ninabahati mbaya.
First time nilipost gari, jamaa toka Dar akata aje mkoani kununua hiyo gari lakini story ikawa ndefu sana. Mara nauli vitu vingi nikajua hapa napigwa nikashituka.
Second time nyumba, same story.
Kuna jamaa mmoja wa Iring huyu ndio tapeli aliyebobea. Sijui kupatana hawalijui hilo, au wanaziba pamba masikio