Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

Nipo najiandaa kufanya mtihani sijajisomea

Nipo mazingira ya shule

Napita darasa wanalofundisha somo la kiswahili wananikalibisha nakataa naenda katika darasa la hesabu mwalimu ananichapa kichwani ananifukuza nitoke nimechelewa

Naota pia nakimbizwa ila sikamatwi
Ok, Mungu anisaidie. Kama alivyo saidia Mr 7seven hapo chini kwa usahihi kwa msaada wa Mungu, naomba niongezee kidogo. Kuwa shule maana yake ni kuwa kwenye maandalizi ya kuingia hatua nyingine ya juu zaidi. Kukaribishwa kwenye darasa la somo la kiswahili, maana yake Mungu anakutaarifu kuwa unapaswa kujifunza kwanza lugha ya Roho Mtakatifu ili uweze kumsikia vizuri wakati akikupa maelekezo ya kuingia hatua mpya iliyopo mbele yako, kumbuka "kiswahili" kwa maana nyepesi ni "lugha". Wewe kulazimisha kuingia kwenye darasa la hisabati, maana yake wewe hutaki na haupo tayari kujifunza kwanza lugha ya kuongea na Mungu na badala yake wewe unalazimisha kuingia hatua mpya kwa kupitia "mipango" yako unayojipangia wewe, au kwa "mahesabu" yako na hivyo inakupekea kufeli kila mara, Hesabu maana yake "mipango". Kupigwa maana yake ni ukaidi wa kutokuelewa au wa kutokutaka kujifunza maana ya ujumbe wa ndoto unazoletewa ambazo ndiyo hizi zinazijirudia. Sasa, Mtumishi Mr 7seven nakuomba ukipita hapa umsaidie huyu mtu maombi ya toba ya kukaidi kumsikiliza Mungu au kutokuelewa alichokuwa anaambiwa na mwisho naomba mpe muongozo wa maombi ya kusikia sauti ya Mungu. Kama ulishayaandika hapanaomba mpe page number ayasome ili aweze kuvuka hapa.
 
Mimi nimesoma huu Uzi baada ya matokeo mabaya ya simba na mashujaa. Mungu awabariki mliotusaidia kufunguka kiroho.
Nina swali.
Unaweza ukafanya biashara kama ya bar na Bado ukawa na mawasiliano na roho upande wa Nuru. Mfano umerithi biashara ya bar kutoka kwa wazazi wako, au umeajiriwa kwenye casino au hotel lakin unaweza ukatoa sadaka na ukafanya sadaka wa ufalme wa roho za nuruni?

2. Kama hapana nifanyaje? Je nawezaje kujifunza kuomba. Kuna namna nikiomba Huwa naona uzinzi au uwongo nikifanya unajirudia wakati nasali,
Nawezaje nikawa mwombaji nisaidie kwa hayo.
Hapa kwako kuna changamoto ya kazi unayoifanya. Umerithi maana yake si wewe uliyeaianzisha.

Kama umeweza kusoma somo langu la madhabahu za ulevi unaweza kupata baadhi ya majibu ya maswali yako.

Kuhusu kazi ya bar na kuuza pombe,huwezi kusimana katika maombi na ukafanikiwa sawa sawa kama Mungu anavyotaka maana kazi yako itakuwa inakushitaki na kukuhukumu.

UFANYEJE?

Badili aina ya kazi au biashara ya pombe na kufanya kazi zote zinazoruhusiwa katika upande wa Nuru.

UNAANZAJE?

Wakati ukiwa unaendelea kuomba kwa hali yako uliyonayo ya imani, muombe Roho Mtakatifu akufanyie wepesi wa kufanya biashara nyingine ambayo haitakutia hatiani.

Usifanye haraka kuifunga ikiwa ndio unayoitegemea kukufanya uishi mjini.Mungu anaangalia nia yako ndani ya moyo wako;hivyo atakusaidia kukupatia kazi nyingine pasipo kuyumbisha maisha yako.

"Mimi kwetu tulikuwa na bar vile vile kama wewe,hakuna kitu nilikuwa ninakichukia kama kuhudumia watu pombe,wakishalewa wanaongea maneno ya hovyo,ugomvi n.k.

Ila nikasema ipo siku nitakuja kuiacha, siwezi kuwa muuza pombe; maana sikuwa ninaona faida yake,usumbufu tu wa wateja.Siku moja ya Mungu isiyokuwa na jina ilikuja kufa na haikuwahi kufanyika tena."

Kwahiyo kuwa na subira,ipo siku utaachana nayo.

Swali la pili.Ukiwa unaomba unaona maono ya uongo na uzinzi.

Hii inatokana na kazi yako,yaani matunda ya kazi yako ndio yanakupa majibu kwamba unawanywesha watu kilevi, wakishalewa wanaanza kusema uongo na kufanya zinaa. Si unajua tena pombe,pombe siyo chai.

Kwahiyo una kazi ya kufanya ukishaachana na hiyo kazi ya pombe,au wakati unatazamia kuacha lakini bado unaomba,ufanye hivi÷

1.Tubu kwa habari ya dhambi ya ulevi kwa kumiliki bar ya pombe ambayo imewalevya watu wengi na kujikuta wakimtenda Mungu dhambi;huku chanzo kikiwa ni wazazi wako na wewe mwenyewe.

2.Vunja madhabahu ya pombe na ulevi ambayo iko ndani ya maisha yako.

3.Futa maagano yote kwa damu ya Yesu ya kuanzisha hiyo bar yaliyofanywa na wazazi wako,ambayo kimsingi wewe huyajui.

4.Mwambie Roho Mtakatifu kwamba upo tayari kusikiliza ushauri wake na njia sahihi za kuachana na hiyo kazi ya pombe.

5.Kwa kuwa umeshaomba toba,sasa unaweza kutoa sadaka yako huku ukisema sadaka hii initoe kwenye hii kazi ya pombe, uzinzi,ulevi na uongo.

Sadaka hii initetee nitoke katika hiki kifungo cha kulevya watu wa Mungu.

Wakati unaendelea na haya maombi utashangaa unaanza kupata mawazo mapya ya kuanzisha biashara nyingine maana nira zitakuwa zinakatika taratibu hadi zinaisha na wewe unakuwa huru kabisa.

Kwa kila hatua utakayopiga na ukaona jambo la kushangaza ambalo huna majibu nalo,usisite kuturudia tena,kama ni la faragha tafadhali njoo PM.

NB.Ninaomba nikutanie kidogo. Pole kwa timu yako kupoteza,sisi Wananchi ndio habari ya mjini bana sasa hivi,upepo wetu now😂😂😂🤣1🔥🔥🔥⚽️⚽️🏅.

Msikate tamaa ndio game hii. Au tuwaazime AZIZ KI mara moja aokoe jahazi ?....Utani wetu ndio jadi yetu,umoja wetu ndio Uzalendo wa Soka letu,be blessed my brother🙏🙏🤝🤝.
 
Mungu akubariki sana sana sana yani sijui kwa nini nilikua na uzito usio semeka lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana yani nimeanza kupitia huu uzi tangu mwanzo huku naandika mambo muhimu muhimu.. nilikua najiuliza nani alinikaribisha kwenye huu uzi aiseee ubarikiwe sana sana sana
Kelvin "hanaga "choyo na ubinafsi mara nyingi huwa anapenda kuwaalika watu wengine wapate chakula cha kiroho.Mungu akubariki sana🙏🙏🤝🤝.
 
Hkika
Ok, Mungu anisaidie. Kama alivyo saidia Mr 7seven hapo chini kwa usahihi kwa msaada wa Mungu, naomba niongezee kidogo. Kuwa shule maana yake ni kuwa kwenye maandalizi ya kuingia hatua nyingine ya juu zaidi. Kukaribishwa kwenye darasa la somo la kiswahili, maana yake Mungu anakutaarifu kuwa unapaswa kujifunza kwanza lugha ya Roho Mtakatifu ili uweze kumsikia vizuri wakati akikupa maelekezo ya kuingia hatua mpya iliyopo mbele yako, kumbuka "kiswahili" kwa maana nyepesi ni "lugha". Wewe kulazimisha kuingia kwenye darasa la hisabati, maana yake wewe hutaki na haupo tayari kujifunza kwanza lugha ya kuongea na Mungu na badala yake wewe unalazimisha kuingia hatua mpya kwa kupitia "mipango" yako unayojipangia wewe, au kwa "mahesabu" yako na hivyo inakupekea kufeli kila mara, Hesabu maana yake "mipango". Kupigwa maana yake ni ukaidi wa kutokuelewa au wa kutokutaka kujifunza maana ya ujumbe wa ndoto unazoletewa ambazo ndiyo hizi zinazijirudia. Sasa, Mtumishi Mr 7seven nakuomba ukipita hapa umsaidie huyu mtu maombi ya toba ya kukaidi kumsikiliza Mungu au kutokuelewa alichokuwa anaambiwa na mwisho naomba mpe muongozo wa maombi ya kusikia sauti ya Mungu. Kama ulishayaandika hapanaomba mpe page number ayasome ili aweze kuvuka hapa.
Hakika kabisa.Kuna jambo analazimisha kulifanya wakati anaambiwa ajifunze kwanza lugha ya kuongea na Mungu (Kiswahili),darasa ni kujifunza.

Darasa la hesabu, ni mipango yake mwenyewe, anamahesabu ya kufanya kitu ambacho siyo sahihi kwa wakati huu.

Anatakiwa aombe maombi ya toba na rehema ili atengeneze mahali alipoharibu na Mungu wake.Maana kupigwa ni kupata anguko au hasara.

Kuna andiko huwa ninalipenda sana katika 1Samweli,linasema, "Kutii ni bora kuliko dhabihu na Kusikia kuliko mafuta ya beberu."

Hakuna kitu ambacho Mungu anakichukia kama ukaidi. Kupewa mipango na Mungu halafu mtu akajiona anajua kuliko Yeye aliyekupa mipango.

"Hiki ndicho kilikuwa chanzo cha mfalme Sauli kunyang'anywa ufalme na akapewa Daudi."

KWAHIYO AFANYE MAOMBI YA TOBA ANA AWE TAYARI KUMSIKLIZA ROHO MTAKATIFU ANAMUONGOZAJE.

Awe tayari kuvua viatu vyake ili apewe mipango mipya kutoka kwa Mungu, naye atamsaidia.

Maombi ya toba na rehema kwa mtu ambaye hajui kuomba anaweza kusoma Zaburi nilishawahi kuziandika kwenye somo lililopita huko nyuma.
Amen.
 
HALELUYAAAAaaaaaaaa

HALELUYAAAAaaaaaaaa mtumishi wa BWANA Asante sana kwa msaada huu mkubwa nitaufanyia kazi. Pia nitakupa mrejesho. Mungu akubariki dana na asante kwa kutenga muda wako kutuelimisha🙏
Amen. Karibu sana wakati wowote niwapo katika madhabahu hii tutajulishana mambo kadha wa kadha kuhusiana na ufalme wa mbinguni maana umekaribia kuhitimishwa kwa sehemu ya kwanza.Yesu karibu arudi hivyo lazima tuwe na maandalizi binafsi ili atakapokuja tupate wasaa wa kumjua na kumlaki mawinguni.
 
Umebarikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai kama nimepata kibali mbele za Mungu aliye hai ninaomba nikueleze inbox kisa changu yani hii ni moja kwa moja ninakoabudu sasa hivi asante Yesu Kristo unanipenda na kunionya..... nimeamini wewe Bwana huniachiiii thank you my Lord King Jesus
Karibu sana,PM yangu iko wazi.Njoo tusemezane faragha.
 
Hapa kwako kuna changamoto ya kazi unayoifanya. Umerithi maana yake si wewe uliyeaianzisha.

Kama umeweza kusoma somo langu la madhabahu za ulevi unaweza kupata baadhi ya majibu ya maswali yako.

Kuhusu kazi ya bar na kuuza pombe,huwezi kusimana katika maombi na ukafanikiwa sawa sawa kama Mungu anavyotaka maana kazi yako itakuwa inakushitaki na kukuhukumu.

UFANYEJE?

Badili aina ya kazi au biashara ya pombe na kufanya kazi zote zinazoruhusiwa katika upande wa Nuru.

UNAANZAJE?

Wakati ukiwa unaendelea kuomba kwa hali yako uliyonayo ya imani, muombe Roho Mtakatifu akufanyie wepesi wa kufanya biashara nyingine ambayo haitakutia hatiani.

Usifanye haraka kuifunga ikiwa ndio unayoitegemea kukufanya uishi mjini.Mungu anaangalia nia yako ndani ya moyo wako;hivyo atakusaidia kukupatia kazi nyingine pasipo kuyumbisha maisha yako.

"Mimi kwetu tulikuwa na bar vile vile kama wewe,hakuna kitu nilikuwa ninakichukia kama kuhudumia watu pombe,wakishalewa wanaongea maneno ya hovyo,ugomvi n.k.

Ila nikasema ipo siku nitakuja kuiacha, siwezi kuwa muuza pombe; maana sikuwa ninaona faida yake,usumbufu tu wa wateja.Siku moja ya Mungu isiyokuwa na jina ilikuja kufa na haikuwahi kufanyika tena."

Kwahiyo kuwa na subira,ipo siku utaachana nayo.

Swali la pili.Ukiwa unaomba unaona maono ya uongo na uzinzi.

Hii inatokana na kazi yako,yaani matunda ya kazi yako ndio yanakupa majibu kwamba unawanywesha watu kilevi, wakishalewa wanaanza kusema uongo na kufanya zinaa. Si unajua tena pombe,pombe siyo chai.

Kwahiyo una kazi ya kufanya ukishaachana na hiyo kazi ya pombe,au wakati unatazamia kuacha lakini bado unaomba,ufanye hivi÷

1.Tubu kwa habari ya dhambi ya ulevi kwa kumiliki bar ya pombe ambayo imewalevya watu wengi na kujikuta wakimtenda Mungu dhambi;huku chanzo kikiwa ni wazazi wako na wewe mwenyewe.

2.Vunja madhabahu ya pombe na ulevi ambayo iko ndani ya maisha yako.

3.Futa maagano yote kwa damu ya Yesu ya kuanzisha hiyo bar yaliyofanywa na wazazi wako,ambayo kimsingi wewe huyajui.

4.Mwambie Roho Mtakatifu kwamba upo tayari kusikiliza ushauri wake na njia sahihi za kuachana na hiyo kazi ya pombe.

5.Kwa kuwa umeshaomba toba,sasa unaweza kutoa sadaka yako huku ukisema sadaka hii initoe kwenye hii kazi ya pombe, uzinzi,ulevi na uongo.

Sadaka hii initetee nitoke katika hiki kifungo cha kulevya watu wa Mungu.

Wakati unaendelea na haya maombi utashangaa unaanza kupata mawazo mapya ya kuanzisha biashara nyingine maana nira zitakuwa zinakatika taratibu hadi zinaisha na wewe unakuwa huru kabisa.

Kwa kila hatua utakayopiga na ukaona jambo la kushangaza ambalo huna majibu nalo,usisite kuturudia tena,kama ni la faragha tafadhali njoo PM.

NB.Ninaomba nikutanie kidogo. Pole kwa timu yako kupoteza,sisi Wananchi ndio habari ya mjini bana sasa hivi,upepo wetu now😂😂😂🤣1🔥🔥🔥⚽️⚽️🏅.

Msikate tamaa ndio game hii. Au tuwaazime AZIZ KI mara moja aokoe jahazi ?....Utani wetu ndio jadi yetu,umoja wetu ndio Uzalendo wa Soka letu,be blessed my brother🙏🙏🤝🤝.
Sawa. Shukrani.
 
Asante sana maana hata ulimwengu wa roho hauna dini.
Mkuu nimesoma uzi huu, tokea post ya mwanzo, katika kujibu maswali ya wadau, kuna baadhi ya hoja zillibuka ndani ya uzi, ukaahidi kuwa mwishoni wa uzi utatujibu mfano kuna mtu aliuliza kuhusu alliens, pia kuna jambo nilitaka pia ulifafanue kwa sababu lina maslahi mapana na nchi yetu, "Makosa yaliyofanyika wakati wa uchaguzi na ile ngao uliyosema imeondolewa imabaki moja" na kama upande wa pili unataka kushika maharaka nini wafanye nk.
 
Kabisa,mganga yeye akutafsiria tu sababu anauzoefu,ila ukifanya mwenyewe mara kwa mara na kwa imani baada ya muda utaona majini,mapepo na mizimu ndotoni na mwisho utaona live.
Mkuu umegusa kilio changu Cha muda mrefu Asante saana
Swali langu,mm natamani kuita mizimu ya babu,baba,na mababu kutaka kunielekeza njia za kuendea ktk harakati za maisha mahusiano nk,,,,kupata ndoto na dira ya uelekeo wa safari ya maisha nk wapi niende na wapi nisiende,nini nifanye na nisifanye hivo yaan nipe muongozo🙏🙏🙏🙏
 
Natumaini wote ni wazima,

naombeni msaada jinsi ya kutatua tatizo langu upande wa nuru. Mimi ni mtt wa nne kutoka familia fulani nimeolewa, ni Mkristo.

Familia yetu imekuwa Ikifatiliwa sana na nguvu za giza. Ktk ukoo wetu nimefatilia wote tuliobarikiwa ndoa hatujapata watt sijui tatzo ni nini.

Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa shangazi na wengine watt wa bamkubwa wanazaidi ya miaka 5 hawajabarikiwa watt, mimi binafsi ndoa yangu inamwaka wa pili ila bado sijabarikiwa watt naogopa.

Binafsi roho inaniambia ukoo wetu utakuwa na shida ila bado sijajua though nilishawahi kudadisi nikagundua mengi.

Kwanza hiyo siku naomba Mungu anisaidie kujua ukoo unashida gani kuna ndugu yangu mmoja alinipigia simu yy ni mtoto wa bamkubwa akaniambia ukoo wetu unashida bila ata kumuuliza kitu chochot.

Nakumbuka aliniambia kwamba bibi mzaa baba alikuwa mchawi alitaka kumtoa kafara bamkubwa na kwa kipindi hicho bamkubwa alikuwa anaumwa, so kulikuwa na huyo mama ambaye alikuwa akimtibu bamkubwa huyo mama alikuwa mganga ndiyo akamwambia kuwa ugonjwa wake unamtesa kwasababu mama ake anataka kumtoa.

So ili bibi asimtoe yule mama mganga akaamua kumuokoa bamkubwa a baadaye huyo mganga alikuja kuzaa na bamkubwa na mtt wake ndiyo huyo aliyenipigia simu.

Baada ya kufanikiwa kumtibu babmkubwa yule mama alitangulia mbele za haki.Yule ndugu yangu aliniambia hayo mambo mwaka huu na aliniambia kuwa bibi kabla ya kufariki alipandikiza mambo ya chuki kwa watt wake kichawi mfano bamkubwa haongei na wadogo zake.

Nakumbuka nilimuuliza yy kajuaje ila hakuniambia japo alisema kuwa bamkubwa alikataa kumwambia chanzo kwann yy hataki kuongea na ndugu zake kwasababu akisema watakatana mapanga “.Baada ya mm kuambiwa hivyo nikaja kumuuliza mzee wangu akaniambia hivi: zamani bamkubwa ndiye aliyetangulia kufanikiwa na alikuwa ni mtu mzuri sana, wadogo zake wote aliwasomesha na wengine aliwatafutia na kazi.

Alikuwa ni mtu wa kwenda kwao kusalimia mara kwa mara ILA alianza kubadilika baada ya kumpata yule mama mganga aliacha kusaidia ndugu zake na kwao akaacha kabisa kwenda.Mzee wangu aliniambia yule mama ndiye aliyevuruga ukoo. Mzee na ndugu zake walijaribu kumwambia aende nyumbani akatibiwe ila akakataa.

Alishawahi kuitwa na babu na bibi enzi za uhai wao ila alikataa. Bamkubwa wangu kiukweli ni mtu aliyesoma sana tena ule usomi wa zamani yy ni Engineer ila anamaisha duni tofauti na hela anazoingiza.Anafanya miradi mikubwa ila anamaisha duni sana.

Kiukweli ukoo wetu unashambuliwa sana na giza. Mzee aliniambia pia zamani bibi na babu waliteseka sana kuwasomesha wengi walipatwa na magonjwa ya ajabu mpk ikabidi watafute suluhu wakashauriwa wajenge nyumba ya mizimu pale kwa bibi ndiyo shida zitaisha. Ila cha ajabu vita bado zipo.

Nakumbuka mzee alipokuwa bado kazini alikuwa anarushiwa makombora mpk ikabidi alete waganga home ili kuweka zindiko.Ata familia yetu wtt dada zangu wawil wanesumbuliwa sana na mapepo. Mimi binafsi nikifika sehemu baada ya muda fulani watu wanaanza kunichukia bila sababu mpk nashangaa.

Nyumbani nilikotoka kuna kipindi tulikuwa tunafuga kuku mauzauza yalikuwa hayaishi mpk tukaamua kuacha kuuza kuku.Vita vya mafanikio vimekuwa vikali sana .

Katika kupata mtt ndyo kabisa nakumbuka hata huyo ndugu yangu aliyenipigia simu aliniambia pia kuhusu hilo kwamba ata yy alipata shida kupata mtt mpaka ikabid amwambie mtu wake amsaidie na cha ajabu yule mtu wake baada ya kumsaidia dawa za kiganga alipata mtoto ila baba watoto wake alipoteza maisha na ndugu wa baba mtoto ake wakamzilia mtoto huyo ndugu yangu wakidai wamemuua.

Naombeni msaada wenu hasa ktk uzao wangu niweze kupata mtt.
 
Nauliza mkuu 7Seven na Worker Water

Hili ni jambo lakawaida au sikitu chakawaida?. Hem fikiria uko ndani umekaa na mkewako wawili tuu. Alafu ghafla unaona nyoka wawili weusi wameongozana wanaingia ndani kwako,. Mmoja mbele mwengine nyuma. Je kama niwewe maamuzi gani ya ghafla ungeyachukua?

Hii imetokea kwa familia yangu mmoja aliweza kuuwawa ila mwengine alipotea haikujulikana amekimbilia wapi kutokana napurukushan umakin wakuwinda wote wawili kukosekana.
Hadi sasa familia yangu iko katika mgogoro mkubwa nikimaanisha Wazazi wangu nlipoambiwa jambo hili na mdogo wangu nimejaribu kulitafakar kwa kina ila hadi now sijapata jibu. Ila pia kabla ya tukio hilo familia ilikua na mgogoro wa shamba na familia jirani. Je mtazamapo kiroho mnaona nin????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini wote ni wazima,

naombeni msaada jinsi ya kutatua tatizo langu upande wa nuru. Mimi ni mtt wa nne kutoka familia fulani nimeolewa, ni Mkristo.

Familia yetu imekuwa Ikifatiliwa sana na nguvu za giza. Ktk ukoo wetu nimefatilia wote tuliobarikiwa ndoa hatujapata watt sijui tatzo ni nini.

Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa shangazi na wengine watt wa bamkubwa wanazaidi ya miaka 5 hawajabarikiwa watt, mimi binafsi ndoa yangu inamwaka wa pili ila bado sijabarikiwa watt naogopa.

Binafsi roho inaniambia ukoo wetu utakuwa na shida ila bado sijajua though nilishawahi kudadisi nikagundua mengi.

Kwanza hiyo siku naomba Mungu anisaidie kujua ukoo unashida gani kuna ndugu yangu mmoja alinipigia simu yy ni mtoto wa bamkubwa akaniambia ukoo wetu unashida bila ata kumuuliza kitu chochot.

Nakumbuka aliniambia kwamba bibi mzaa baba alikuwa mchawi alitaka kumtoa kafara bamkubwa na kwa kipindi hicho bamkubwa alikuwa anaumwa, so kulikuwa na huyo mama ambaye alikuwa akimtibu bamkubwa huyo mama alikuwa mganga ndiyo akamwambia kuwa ugonjwa wake unamtesa kwasababu mama ake anataka kumtoa.

So ili bibi asimtoe yule mama mganga akaamua kumuokoa bamkubwa a baadaye huyo mganga alikuja kuzaa na bamkubwa na mtt wake ndiyo huyo aliyenipigia simu.

Baada ya kufanikiwa kumtibu babmkubwa yule mama alitangulia mbele za haki.Yule ndugu yangu aliniambia hayo mambo mwaka huu na aliniambia kuwa bibi kabla ya kufariki alipandikiza mambo ya chuki kwa watt wake kichawi mfano bamkubwa haongei na wadogo zake.

Nakumbuka nilimuuliza yy kajuaje ila hakuniambia japo alisema kuwa bamkubwa alikataa kumwambia chanzo kwann yy hataki kuongea na ndugu zake kwasababu akisema watakatana mapanga “.Baada ya mm kuambiwa hivyo nikaja kumuuliza mzee wangu akaniambia hivi: zamani bamkubwa ndiye aliyetangulia kufanikiwa na alikuwa ni mtu mzuri sana, wadogo zake wote aliwasomesha na wengine aliwatafutia na kazi.

Alikuwa ni mtu wa kwenda kwao kusalimia mara kwa mara ILA alianza kubadilika baada ya kumpata yule mama mganga aliacha kusaidia ndugu zake na kwao akaacha kabisa kwenda.Mzee wangu aliniambia yule mama ndiye aliyevuruga ukoo. Mzee na ndugu zake walijaribu kumwambia aende nyumbani akatibiwe ila akakataa.

Alishawahi kuitwa na babu na bibi enzi za uhai wao ila alikataa. Bamkubwa wangu kiukweli ni mtu aliyesoma sana tena ule usomi wa zamani yy ni Engineer ila anamaisha duni tofauti na hela anazoingiza.Anafanya miradi mikubwa ila anamaisha duni sana.

Kiukweli ukoo wetu unashambuliwa sana na giza. Mzee aliniambia pia zamani bibi na babu waliteseka sana kuwasomesha wengi walipatwa na magonjwa ya ajabu mpk ikabidi watafute suluhu wakashauriwa wajenge nyumba ya mizimu pale kwa bibi ndiyo shida zitaisha. Ila cha ajabu vita bado zipo.

Nakumbuka mzee alipokuwa bado kazini alikuwa anarushiwa makombora mpk ikabidi alete waganga home ili kuweka zindiko.Ata familia yetu wtt dada zangu wawil wanesumbuliwa sana na mapepo. Mimi binafsi nikifika sehemu baada ya muda fulani watu wanaanza kunichukia bila sababu mpk nashangaa.

Nyumbani nilikotoka kuna kipindi tulikuwa tunafuga kuku mauzauza yalikuwa hayaishi mpk tukaamua kuacha kuuza kuku.Vita vya mafanikio vimekuwa vikali sana .

Katika kupata mtt ndyo kabisa nakumbuka hata huyo ndugu yangu aliyenipigia simu aliniambia pia kuhusu hilo kwamba ata yy alipata shida kupata mtt mpaka ikabid amwambie mtu wake amsaidie na cha ajabu yule mtu wake baada ya kumsaidia dawa za kiganga alipata mtoto ila baba watoto wake alipoteza maisha na ndugu wa baba mtoto ake wakamzilia mtoto huyo ndugu yangu wakidai wamemuua.

Naombeni msaada wenu hasa ktk uzao wangu niweze kupata mtt.
Pole sana hope utapatiwa ufumbuzi
 
Pole sana.Kwanza soma somo la Maagano, Madhabahu na Mamlaka vizuri, baada ya hapo utapata mwanga, kisha njoo tena tuzungumze; maana yote uliyoyazungumza yapo humo kwenye hayo masomo.

Roho ya kukataliwa na kuchukiwa, ni hizo madhabahu na maagano ya huyo mtu wenu unayemhisi kuvuruga familia yenu,aliacha maneno ya laana kwenye uzao wenu kwamba msipate watoto.Unahitaji msaada wa kiroho ili kuvunja hivyo vifungo vya nguvu za giza.

Lakini pia miaka 2 kwenye ndoa siyo mingi sana ya kusema umechelewa kupata mtoto.Kuna watu wana miaka 10,15 hadi 20 kwenye ndoa na hawana watoto lakini hawajakata tamaa. Pitia hayo masomo kwa umakini utaona tatizo lako liko wapi.
 
Back
Top Bottom