innovator N
New Member
- Feb 21, 2022
- 3
- 5
Leo nineona nishare na nyie jambo zuri la kutengeneza mafuta ya nywele asili kabisa.
Faida zake,
1. Kuondoa mba
2. KUSAIDIA ukuaji Mzuri wa nywele
3. Kuongeza unadhifu wa nywele
4. KUSAIDIA kuifanya nywele iwe laini zaidi.
5. Kuifanya nywele iwe nyeusi.
Mahitaji yanayohitajika kwenye
1. Micro wax
2. White oil
3. Rangi(sio lazima)
4. Virutubisho ( viambata asili kama aloe vera, parachichi, mafuta ya nazi, karoti, mnyonyo)
5. Perfume
6. Vifungashio
7. Jiko na mwiko au mti wa kukorogea.
Namna ya kutengeneza
Washa Jiko lako moto mdogo sana, weka sufuria na kisha weka micro wax ili iweze kuyeyuka, kisha ongeza mafuta(white oil), huku unaendelea kuchanganya na baada ya hapo ongeza virutubisho vyako, acha yapoe kidogo kisha weka rangi endelea kukoroga na uweke perfume. Baada ya hapo acha ipoe kidogo ndipo uweke kwenye vifungashio, acha yagande na itakua tayari kwa matumizi.
PIA WAWEZA ANZISHA BIASHARA KWANI MTAJI WAKE SI MKUBWA.
KARIBUNI TUJIFUNZE.
KWA MASWALI ZAIDI WAWEZA NI PM