Jifunze kumuacha aende

copy & paste
 
ni rahisi kiyaandika hayo na kuyatamka ila siku ukikamatika na penzi la ukweli afu ghafla akaondoka hutayakumbuka haya maneno.
wanaosema haya ni wale ambao washazoea vibuti sana.HUO NDO UKWELI HALISI
 
Mkuu huu ni wimbo eeh? Tuutafutie beat
 
ni rahisi kiyaandika hayo na kuyatamka ila siku ukikamatika na penzi la ukweli afu ghafla akaondoka hutayakumbuka haya maneno.
wanaosema haya ni wale ambao washazoea vibuti sana.HUO NDO UKWELI HALISI
Yaani mimi ndo najua kabisa siwezi kumuacha na yeye anajua kwamba kwake nimefika. Siwezi kumuacha kama atanitesa poa tu imladi nipo naye .akiamua kuniacha aisee nitamuomba hata niwe mchepuko wake hata kama akiamua kuoa..ila kumuacha big NO. SIMUACHI
 
Popote ulipo Venitha wang,,,nenda salama.nilikupenda saana lkn uliamua unitende vile.
You see...That's Bravo bro........As time goes by, the wound starts to heal, but you're left with a scar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…