copy & paste• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...
MUACHE AENDE !
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?
MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...
MUACHE AENDE !
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...
MUACHE AENDE !
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...
MUACHE AENDE !
CHA KUJIFUNZA
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!
• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.
Jifunze kumuacha aende hata ni kama kwenye ndoa, vitabu vya dini vinaruhusu kabisa kuvunja ndoa kwa kesi ya Uzinzi.
NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!
Kama ipo ipo tu...!
Tupo pamoja??
doh! pole mamaanguNaongea katika maisha yangu halisi peter,sio kule kapuku
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.

Yaani mimi ndo najua kabisa siwezi kumuacha na yeye anajua kwamba kwake nimefika. Siwezi kumuacha kama atanitesa poa tu imladi nipo naye .akiamua kuniacha aisee nitamuomba hata niwe mchepuko wake hata kama akiamua kuoa..ila kumuacha big NO. SIMUACHIni rahisi kiyaandika hayo na kuyatamka ila siku ukikamatika na penzi la ukweli afu ghafla akaondoka hutayakumbuka haya maneno.
wanaosema haya ni wale ambao washazoea vibuti sana.HUO NDO UKWELI HALISI
Usiniache please.Na kweli nimwache aende...
Asante mama. Kwaheri.Nshamwachia aende..Na akafie kwa mwingine huko mbele
Excuse me dude,i have my own real life and dat is wat am speaking about not drama za kule kapuku,na ya kule yaishie ndani ya forum ileile! huku am real aggy na maisha halisi usiinterfere na ile isidingo,utaniharibia!Asante mama. Kwaheri.
Ha ha duUkiona mizinga imezidi hasa isiyokuwa na maana MWACHE AENDE
Kweli kauli kavu Kama hizo hazifai.Wala ni mzima but watu wanatafuta vijisabb vidogo tu ili akuache..Hii inaumiza sana na mtu anaekupenda kwa kumaanisha hawez kukwambia ghafla "mi na wewe basi"..Hawezi