Jifunze kitu hapa kupitia picha 12

Hawa niwapuuzi na hawana Cha huruma wala nini
ba7f7b34eb8fda902316987a3bbeb410.jpg
Boy Attacked by Snake as Photographers Watch. Real or Hoax?
 
duh aisee mwanzo ilikuwa hadi kinyaa kumshika. lakini mwisho anavutia kwakweli
 
Moral of the story; kiumbe chochote kikipata malazi na chakula bora hunawiri. Hata magonjwa nyemelezi hutoyasikia.

Ukiwa na pesa utanawiri tuu hata kama hutonenepa. Ukiwa na dhiki na shida na uko mtaani unazurura zurura na kubangaiza utachakaa na kuzeeka kabla ya umri wa kuzeeka.

Hii inatokeaga hata kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom