makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 30,888
- 90,531
Hata sijui nikujibu nini..Hivi nyie utopolo mtaendelea kututisha Simba kwa riwaya katika media?
Kama club bingwa Afrika amefungwa,unaanzaje kututisha na wengine ambao ni size yetu tu?
Hivi hamjui nao wanatuogopa?
Kipi kimekufanya uhisi mimi ni yanga, sasa tusiseme ukweli