Jibu sahihi ya neno na nakupenda ni lipi?

watanzania kawaida yetu hatuna majibu ya kawaida ila majibu yetu ni maswali ,unaweza kuulizwa swali nawew ukauliza swali kwa mtazamo wangu jibu sahihi ni hilo alilosema bosi jibu namba 5)Kwahiyo
 
Halafu me nina dukuduku, hivi unapoonana/ kutana na mtu kw muda mfupi kbs na kumwambia 'Nakupenda' ni sahihi kweli? Me nadhani tuwe wawazi tu mwambie ukweli kuwa 'NAKUTAMANI'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom