Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,195
- 8,960
Hii ni zaidi ya fast jet aiseeNawadeizi, 'mambo mwendo kasi' ndo habareee ya mujini. Teh teh
Kukutana JANA 'online', then LEO mtu anashukuru na kujifariji kwamba 'kapata jiko'. Ama kweli hii ni zaidi ya 'mwendo kasi'