JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Nelson_Mandela_Eveleyn_Mase_Walter_Sisulu_Albertina-Sisulu_Wedding_l.jpg
 
Yule mkewe aliefunga nae ndoa mwaka 1944 ndo huyo alikuja kutengana nae baada ya kutoka jela?
Nope!
Ni Winnie ayelitengana na Mandela mwaka 1992.
Mandela alitengana na mke wake wa kwanza - Evelyn Mase mnamo mwaka 1956.
Evelyn anadai aliamua kutengana na Mandela kutokana mumewe kuwa na michepuko lukuki pia kuhamishia "mapenzi" kwa chama cha ANC.
 
Back
Top Bottom