JF nauliza vipi kuhusu zile ajira zenu mlizotangaza

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
285
889
Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita

Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira

Au na nyie mpo kama taasisi nyingine kwamba bila mchongo (connection) hutoboi au mlikuwa na watu wenu maalumu, nilitamani kupata feedback yoyote kuhusiana na hili jambo

Naombeni majibu hapa, kwa afya na ustawi wa JF
 
If you don't hear from us 3weeks after deadline consider your application unsuccessful
 
Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita

Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira

Au na nyie mpo kama taasisi nyingine kwamba bila mchongo (connection) hutoboi au mlikuwa na watu wenu maalumu, nilitamani kupata feedback yoyote kuhusiana na hili jambo

Naombeni majibu hapa, kwa afya na ustawi wa JF
Watu wameshaanza hadi na kazi, wewe unaulizia feedback?
 
Back
Top Bottom