Mahesabu JF-Expert Member Jan 27, 2008 6,652 6,683 Mar 18, 2008 #301 JAMANI MPAKA TUACHIWE MASHIMO NDO TUSTUKE.....! WATOTO WETU TUNAWAACHIA NINI......? AU TUNATAKA WATOTO NA WAJUKUU WAJE KUTULAUMU KUWA WE DIDNT PLAY OUR PART TO DEFEND OUR COUNRTY AND RESOURCES....? WAKE UP !!!!
JAMANI MPAKA TUACHIWE MASHIMO NDO TUSTUKE.....! WATOTO WETU TUNAWAACHIA NINI......? AU TUNATAKA WATOTO NA WAJUKUU WAJE KUTULAUMU KUWA WE DIDNT PLAY OUR PART TO DEFEND OUR COUNRTY AND RESOURCES....? WAKE UP !!!!
Neiwa JF-Expert Member Feb 17, 2012 728 633 Nov 25, 2012 #303 Kwa muziki uliomo humu ndani wacha nilale hapa hapa'
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,790 288,165 Nov 25, 2012 #304 Shamba la Bibi!!! Neiwa said: Kwa muziki uliomo humu ndani wacha nilale hapa hapa' Click to expand...
Shamba la Bibi!!! Neiwa said: Kwa muziki uliomo humu ndani wacha nilale hapa hapa' Click to expand...
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,790 288,165 Sep 11, 2019 #306 Kutoka maktaba yetu! Mabepari wametupora dhahabu na gesi yetu! Wanafiki bana! ππππππππ
Kutoka maktaba yetu! Mabepari wametupora dhahabu na gesi yetu! Wanafiki bana! ππππππππ
J Jasusi JF-Expert Member May 5, 2006 11,559 5,472 Sep 13, 2019 #307 BAK said: Kutoka maktaba yetu! Mabepari wametupora dhahabu na gesi yetu! Wanafiki bana! ππππππππ Click to expand... Masgu naye ni wale wale. Sikutegemea muujiza
BAK said: Kutoka maktaba yetu! Mabepari wametupora dhahabu na gesi yetu! Wanafiki bana! ππππππππ Click to expand... Masgu naye ni wale wale. Sikutegemea muujiza
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,790 288,165 Sep 13, 2019 #308 Wahuni na majizi yote haya. Wanakuja na misemo yao ya kutuzuga Watanzania eti HAPA KAZI TU! Kikwete naye alikuwa na NGUVU MPYA KASI MPYA NA ARI MPYA. Jasusi said: Masgu naye ni wale wale. Sikutegemea muujiza Click to expand...
Wahuni na majizi yote haya. Wanakuja na misemo yao ya kutuzuga Watanzania eti HAPA KAZI TU! Kikwete naye alikuwa na NGUVU MPYA KASI MPYA NA ARI MPYA. Jasusi said: Masgu naye ni wale wale. Sikutegemea muujiza Click to expand...