Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,666
- Thread starter
- #41
Wewe unafanya nini humu sasaTafuta kazi itakayokushughulisha wewe,acha kushinda JF kutwa ukifungua thd za kijinga jinga,
Hao wanao ndio utakuja kujisifia kwao kua ulikua na likes nyingi na thd nyingi jf? Hizi likes ndio unawaandalia urithi wanao?
Miaka inasonga mbele na haitorudia nyuma kamwe,jitafakari kisha chukua hatua kabla ya kuharibikiwa zaidi.