Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,666
kwani ukiwa na likes nyingi unalipwa au? maana kama kuna manufaa na sisi tuanze kuomba malikesLikes. Kuna vikundi humu vya upatu vya kuchangiana likes. Mjini mipango
Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.kwani kiwa na likes nyingi unalipwa au? maana kama kuna manufaa na sisi tuanze kuomba malikes
Likes. Kuna vikundi humu vya upatu vya kuchangiana likes. Mjini mipango
Ndo uelewa wako ulipoishia. Hujaona posti za ovyo ndo zinazozoa likes nyingi na hata kupata viewers wengi? Hapo umefeli ndugu...Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.
Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.