Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,994
- 12,772
Kwa nini?? Mambo yatakuwa Safi muda si mrefu.hatufiki December....kauli mbiu ya "hapa kazi tu" kila atakayeitumia (mjini na vijijini) atakuwa anarushiwa mayai viza na/au mawe!
subirini....
Kwa nini?? Mambo yatakuwa Safi muda si mrefu.hatufiki December....kauli mbiu ya "hapa kazi tu" kila atakayeitumia (mjini na vijijini) atakuwa anarushiwa mayai viza na/au mawe!
subirini....
kweli kabisa!!Kwa nini?? Mambo yatakuwa Safi muda si mrefu.
jeuri la magufuli sidhani km atawafuata labda wamfuate waoNaamini Soon Magufuli atatinga USA , wa kubishana na USA dunia hii ni URUSI na North Korea pekee.
zo tushazoea misaada yaani apo wengine wanaona tukio la karne kunyimwa trioni moja ambayo inakusanywa bandarini kwa mwezi mmoja tuWe kweli taka taka kabisa kaanza vibaya kwakuwa tumenyimwa misaada? Kama mmechoka kuishi nchini nendeni marekani!
Ni bora watunyime ili tujifunze kujitegemea..na nyie nendeni mkafanye sherehe ya kunyimwa misaada!
Mkuu hoja yako ni sawa na kusema UKIMWI ni maradhi mzuri kwa sababu uanajua utakufa wakati maradhi mengine vipimo haviwezekani. Sera za uchumi za China ni mbovu sana kwa sababu maamumizi ya vishinikizo (Rushwa) inafanywa kwenye ngazi ya juu kabisa ambayo wananchi na nchi inaambulia harufu tu. Fanya uchunguzi wa madeni ya serikali kutokana na China utueleze manufaa yake.Shetani mpya usiyemjua ni bora kuliko shetani wa zamani unayemjua.China ni wazuri zaidi.Misaada yao haina masharti kama ya wamarekani.
Hoja yako haionyeshi unajitegemea kufikiri.We kweli taka taka kabisa kaanza vibaya kwakuwa tumenyimwa misaada? Kama mmechoka kuishi nchini nendeni marekani!
Ni bora watunyime ili tujifunze kujitegemea..na nyie nendeni mkafanye sherehe ya kunyimwa misaada!
Hii ndo akili ya mbele kwa mbele hasa
Hii ndo akili ya mbele kwa mbele hasa