Jeuri hii anaipata wapi huyu?



Soma historia mkuu, acha kulalamika,
wakulima na wafugaji wameanza kuuana toka enzi za Abel na Kain, so usitegemee kuwa itaisha leo. chagua upande tu, wa Abel au wa Kaini
 
The 5th government's approach in dealing with conflict between farmers and pastoralists will not even reduce the intensity of the conflicts but most importantly unsustainable and lethal to natural resources ~mtz daima 2016.
 
Kwa nini lisitekelezeke mkuu? Hivi kweli kama watu wa NLUPC wangekuwa wanatekeleza wajibu wao na kushirikiana ipasavyo na district councils kuhakikisha kila kijiji kina land use plan inayosimamiwa ipasavyo na VCs na kwamba wananchi wana Hati za kimila na kwamba hakuna kuingiza mifugo kwenye kijiji ambacho hakina extra grazing area, haya yangeendelea kutokea!?
Ushauri huu ni vigumu kutekelezeka
 
Nchi hii maeneo ya misitu ni takriban hekta milioni 48, achilia mbali maeneo mengine yanayofaa kwa mifugo na ambayo siyo erable land. Tatizo ni kwamba wafugaji hawa hawataki kukaa peke yao mbali kabisa na Wakulima au mashamba. Sababu kubwa ni kwamba wanataka kuwa jirani na Wakulima ili wapate huduma muhimu kwani in most cases Wakulima wanakuwa wame settle wakati wao kila siku ni kukimbikizana na kuhama kuhama.
 
Husitake kutuhamisha kutoka kwenye ubaguzi wenu mliotuonyesha zanzibar
 
Huwa sipendi kabisa jamii inavyoishi kwa kuuana na kutendeana ukatili. Lakini ulatili wakitendewa wafugaji huwa naona ni stahiki yao. Wafugaji hata akili huwa hawana, mifugo yao huwa na akili kuwaliko wao.
Ukiuliza historia nani ni nani kwenye maeneo hayo yanayogombewa, utasikia wakulima wamekuwepo hapo wakifanya shughuli zao tangu enzi na enzi lakini mifugaji yenyewe inakua tayari imetoka sehemu A,B, C n.k hadi kufika hapo na kote huko walikotoka either wamejeruhi na kuua watu au wameharibu mazingira na wala hawana historia ya kuishi sehemu kwa muda mrefu.
 
Hawa wafugaji dawa yao ni mbeya tu. Maeneo mengine wangekua strictly kama mkoa wa Mbeya nadhani tusingeona wakitamba kama hivi.
Wasukuma waifahamu vizuri sana mipaka ya mkoa wa mbeya kuliko idadi ya ng'ombe walizonazo
 
Soma historia mkuu, acha kulalamika,
wakulima na wafugaji wameanza kuuana toka enzi za Abel na Kain, so usitegemee kuwa itaisha leo. chagua upande tu, wa Abel au wa Kaini
Wewee, hebu achana na hizo riwaya, tujadili huu ubabe wa wafugaji wa Tanzania, kipi kinawapa kibri?
 
Mimi sio mwanasiasa wewe acha ulofa.
Ujinga wenu mlioufanya jana hautakaa utoke vichwani mwa mamilioni mwa watanzania,na kwa makusudi ulitaka kututoa kwenye hiyo point lkn ukagonga mwamba,poor ccm
 
Mimi bado nashindwa kuelewa kama kweli serikali imweshindwa kutatua mgogoro huu au kuna mtu ana maslah sehemu! Hata hainiingii akilini miaka nenda rudi ni wakulima na wafugaji
 
Wapumbavu ni wale wanaojenga hoja without facts, wanasoma comments mbili tatu and without any information on what is happening on the ground they make conclusion. Kwa kuwa watu hawa huwa hawana msaada wowote to the affected community, ambao wanakuwa wanateseka kwa mazao yao kuharibiwa na hivyo mara nyingi kutokuwa na chochote VS hawa wafugaji ambao wanauwezo wa kuuza hata mbuzi ili kuwahonga baadhi ya mapolisi, basi narudia kusema wewe huna unachokijua wewe.
Wewe unachotakiwa kufanya ni kutoa maoni yako na si kujibu comment za wenzako ..

Jifunze namna bora ya kuchangia ili ujitofautishe na wapumbavu.
 
Kama mfugaji anaweza uza mbuzi ahonge polisi, mkulima anashindwa vipi kuuza mchicha na bamia ili naye awahonge hao polisi?

Huna jipya kalio wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…