IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,835
Wakisaidiwa na baadhi ya mapolisi wasio waaminifu ambao wamewageuza wafugaji hao kuwa ATM machine, mfano mzuri ni kituo cha polisi Mtibwa, Turiani.Wafugaji ni chanzo cha matatizo
Wakisaidiwa na baadhi ya mapolisi wasio waaminifu ambao wamewageuza wafugaji hao kuwa ATM machine, mfano mzuri ni kituo cha polisi Mtibwa, Turiani.Wafugaji ni chanzo cha matatizo
Mwakilishi wa wafugaji anaongea eatv na kutoa lugha kali kwa mkuu wa wilaya Betty Mkwasa akimtuhumu ati aliamuru ng'ombe wa kule Morogoro wauzwe na pesa kuwekwa ktk mfuko wa kijiji.
Hawa wafugaji wanaua wakulima kama kuku kwa jeuri ya pesa na wanaachwa tu naona sasa wanaanza kuzinunua media na kuibeep serikali mpya.
Ushauri huu ni vigumu kutekelezeka
Hujui unachoongea bora ungenyamaza tu! Hii migogoro ya wakulima na wafugaji haitakaa imalizwe na wanasiasa!Laiti ungelijua adha na unyama wanaofanyiwa wakulima usingeropoka humu ovyo.
Nchi hii maeneo ya misitu ni takriban hekta milioni 48, achilia mbali maeneo mengine yanayofaa kwa mifugo na ambayo siyo erable land. Tatizo ni kwamba wafugaji hawa hawataki kukaa peke yao mbali kabisa na Wakulima au mashamba. Sababu kubwa ni kwamba wanataka kuwa jirani na Wakulima ili wapate huduma muhimu kwani in most cases Wakulima wanakuwa wame settle wakati wao kila siku ni kukimbikizana na kuhama kuhama.48, ahiyo mkuu kwa akili yako unaona suluhisho ni kuwarudisha kwao? Umewahi kujiuliza kwanini wanahama? Naamini unajua kuwa sababu kubwa ni mabadiliko ya tabia nchi na Climate kwa ujumla.
Ungepaswa kusuggest kuwa serikali (Kwakuwa Animal products especcially za Cattle ni valuable sana ndani na nje ya Tz) basi iwatengee maeneo maalum ya kufugia mifugo na wawe enclosed.
Wewe unachotakiwa kufanya ni kutoa maoni yako na si kujibu comment za wenzako ..Hujui unachoongea wewe!!
Hebu tueleze ni kwa vipi labda? Sioni interaction yeyote.Hao wafugaji huenda wanapata jeuri hiyo kutoka kwa mamvi, amini maneno yangu.
Husitake kutuhamisha kutoka kwenye ubaguzi wenu mliotuonyesha zanzibarMwakilishi wa wafugaji anaongea eatv na kutoa lugha kali kwa mkuu wa wilaya Betty Mkwasa akimtuhumu ati aliamuru ng'ombe wa kule Morogoro wauzwe na pesa kuwekwa ktk mfuko wa kijiji.
Hawa wafugaji wanaua wakulima kama kuku kwa jeuri ya pesa na wanaachwa tu naona sasa wanaanza kuzinunua media na kuibeep serikali mpya.
Huwa sipendi kabisa jamii inavyoishi kwa kuuana na kutendeana ukatili. Lakini ulatili wakitendewa wafugaji huwa naona ni stahiki yao. Wafugaji hata akili huwa hawana, mifugo yao huwa na akili kuwaliko wao.Nakumbuka miaka karibu 20 iliyopita wafugaji (katika mkoa mmoja) walimchinja kijana mmoja mkulima wakamkata kichwa na kukitundika kwenye mti uliochongwa. kilichotokea wale wafugaji hawatasahau. Wakulima waliji-organize wakafanya ambush na kufanya mauaji ya kutisha...
Hawa wafugaji dawa yao ni mbeya tu. Maeneo mengine wangekua strictly kama mkoa wa Mbeya nadhani tusingeona wakitamba kama hivi.Acha kutetea ujinga. Zamani wakati wafugaji walivyokuwa wanatulia maeneo yao, kuna mikoa fulani watu walikuwa hawajawahi kumuona ng'ombe. Siku hizi kwa kisingizio cha kukwepa ubaguzi jamaa wanazurura ovyo nchi nzima na mang'ombe yao. Kibaya zaidi kwao ng'ombe mmoja anathamani kuliko wanakijiji wote anaowakuta huko.
Wewee, hebu achana na hizo riwaya, tujadili huu ubabe wa wafugaji wa Tanzania, kipi kinawapa kibri?Soma historia mkuu, acha kulalamika,
wakulima na wafugaji wameanza kuuana toka enzi za Abel na Kain, so usitegemee kuwa itaisha leo. chagua upande tu, wa Abel au wa Kaini
Ujinga wenu mlioufanya jana hautakaa utoke vichwani mwa mamilioni mwa watanzania,na kwa makusudi ulitaka kututoa kwenye hiyo point lkn ukagonga mwamba,poor ccmMimi sio mwanasiasa wewe acha ulofa.
Wewe unachotakiwa kufanya ni kutoa maoni yako na si kujibu comment za wenzako ..
Jifunze namna bora ya kuchangia ili ujitofautishe na wapumbavu.
Kama mfugaji anaweza uza mbuzi ahonge polisi, mkulima anashindwa vipi kuuza mchicha na bamia ili naye awahonge hao polisi?Wapumbavu ni wale wanaojenga hoja without facts, wanasoma comments mbili tatu and without any information on what is happening on the ground they make conclusion. Kwa kuwa watu hawa huwa hawana msaada wowote to the affected community, ambao wanakuwa wanateseka kwa mazao yao kuharibiwa na hivyo mara nyingi kutokuwa na chochote VS hawa wafugaji ambao wanauwezo wa kuuza hata mbuzi ili kuwahonga baadhi ya mapolisi, basi narudia kusema wewe huna unachokijua wewe.