MU-ARSENAL
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 956
- 597
Mi pia nmelisikia Hilo swala unalosema kuhusu CLOUDS kulichana jeshi la polisi.Habari wana jf..
Wakati nikilisikiliza Clouds ...Leo nilisikia wakilichana jeshi la polisi.....Kwa kweli nilisikitishwa sana kama jeshi la polisi litakaa kimya dhidi ya huu upuuzi ambao unafanywa na clouds fm.
Nitakuwa wa kwanza kulishangaa hivi nini maana ya jeshi.....Ni lazima wawafundishe hao clouds fm utofauti uliopo kati ya jeshi na taasisi zingine za mkonge...Haiwezekani haiwezekani haiwezekani... Watieni adabu hao.
My take :
Jeshi letu lijitathimini kwanza mana Kuna changamoto sana jeshi linakiuka sheria na haki za binadamu kwa kumfanya mwananchi kuliogopa jeshi la polisi. Unaweza ukapigwa tuu au ukapewa kesi ambayo si yako bila sababu hasa wanaposikia mtaa flan kunawaharifu mtakamatwa mtaa mzima mweny makosa na asiye na makosa ukiingia kituoni lazima utoe hela kwa kweli wanaboa.
Inawezekana mtoa mada ww ni POLISI ndo mana unaongea tu..
Bora JWTZ ndo watetez wa sisi wanyonge.
Usiombe ukae ROCK-UP