MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
Mimi sijui kama ni operation zidi ya mashoga kujitangaza hadharani(mitandaoni)lakini kama ni yakukomesha ushoga ni ngumu kupata ushahidi wa uhakika wa wahusika ulio kamilika.
Mfano Saudi Arabia nchi ya kiislam adhabu ya ushoga ni kukatwa shingo, lakini ilishindwa kukomesha tabia hiyo , sababu wahusika wanafanyana kwa siri kubwa.
Mfano Saudi Arabia nchi ya kiislam adhabu ya ushoga ni kukatwa shingo, lakini ilishindwa kukomesha tabia hiyo , sababu wahusika wanafanyana kwa siri kubwa.