FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,492
7,033
Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.

Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.

⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa

1744182680202.png

Vikosi vya timu zote tayari zimetoka

1744199822766.png
Mechi imeanza (Kick Off)

Simba SC 2-0 Al Masry SC (Agg: 2-2)

15' Simba bado wanatafuta bao
22' Goooal (Mpanzu)
30' Mechi imesmama, mchzaji wa Al Masry anatibiwa
33' Goooal (Mukwala)
40' Samadou - Al Masry ametoka kwa majeraha
45' Kadi ya Njano - Deghmoum

Zimeongezwa dakika 4 kukamilisha dakika 45

HT: Simba SC 2-0 Al Masry SC (Agg: 2-2)

Kipindi cha pili kimeanza


45' Mabadilko - Al Masry. Mohamed Hashem anachukua nafasi ya Youssef El Gohary.
54' Simba wanasaka goli kutanua uongozi
55' Kadi ya Njano - Ahmed Eid (Al Masry)
58' Free Kick imenga mwamba wa juu - Jean Ahoua (Simba SC)
63' Shuuti kali linadakwa na Kipa - Elie Mpanzu (Simba SC)
69' Faulo nje ya 18 - Ahoua anapiga
77' Mechi inaedelea
GoGMTPAWQAA8LDv.jpeg

GoGO7emXgAA2wlu.jpeg

GoGc4RMWwAAH3aF.jpeg
Dakika 10 zimeonezwa

FT:
Simba SC 2-0 Al Masry SC (Agg: 2-2)
Hatua inayofuata ni Mkwaju ya Penati

PENATI

Simba SC ✅✅✅✅
Al Masry SC ❌✅❌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom