Utupe updates tulio nje ya Nchi.Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa
Mwakarobo as usualMechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa
Respect mkuu.
Shida leo Chama hayupo. Alichangia sana kwenye ushindi wa mechi tajwa hapo juu. Angekuwepo Chama hata kule Misri Simba angeshinda. Jamaa anajua sana kutengeneza magoli ya wazi ingawa ameshindwa kuendana na mfumo wa kasi wa uchezaji wa Yanga.Madhila yaliyowapata Horoya, J Galaxy, Kaizer Chiefs au AS Vita yampate pia Al Masry.
Hii mechi nilifikiri inachezwa kuanzia saa 1 jioni! Dah! Nimeiokosa hivi hivi.Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa
Mwasibu umeandika kinyonge sana. Ni kama umekata tamaa kabisa.Simba tulikosea sana kuruhusu goli 2-0