Jeshi la Polisi Jiji la Mwanza walinishikisha BASTOLA kwa nia mbaya

yaani kama wewe ndio kiongozi mtarajiwa kwa >?"<{}_ hizo.

hiko sio chama

ni chama cha comedians

naionea huruma hata hao wafuasi wajao..
 
Sasa hapo watasema wamekukuta na bastola wapii? Maana umeishika na kuiacha polisi umo umo.. May b wangekushikisha mtaani.. But ndan ya kituo cha polisi naona haimake sense kabisa. Na pia polisi wanakushikisha kitu afu wasubiri kwa 4 years ndo waraise issue..? I think it is not possible.
 
Miss Natafuta usicheke, haya mambo yamewatokea sana watu. Tambua kuwa watu wakianza kuona ndani yako kuna potentiality fulani, hufanya kila nia ili wakumiliki kwa lengo la kuja kukutumia baadaye. Hata wewe katika pitapita zako huenda kuna sehemu watu tayari wamekutengenezea tukio usilolijua na kwa kuwa unawaamini na unajiamini ilikua ni rahisi kuliko uji kwa mwenye mapengo. In ten or tweny years to come usije kushangaa unahusishwa na jambo la ajabu ajabu kabisa.
mbona unaniombea mabaya mkuu?
 
Kuna title ukisoma tu unakisia mwandishi wa uzi husika.

By the way sisi wanachama ACA - Tanzania tuna imani na mwenyekiti wetu.
 
JESHI LA POLISI JIJI LA MWANZA WALINISHIKISHA BASTOLA mwaka 2013.

Nilipofika kituo cha Polisi Central hapa Jiji Mwanza kwa shida ya kiofisi ya RB nikamkuta mtu mmoja ambaye na mfahamu kama Polisi (Abdalah Twaha) waliniingiza chumba cha ndani kutoka mapokezi, tukakuta maaskari wawili mezani, pale mezani kulikuwa na BASTOLA. Wakaniambia tunauza hii bunduki lete pesa tukuuzie, nikawaambia Mimi kwasasa bado sijawa na hadhi ya kumiliki BASTOLA, wakaniambia hebu ishike uone ilivyo nyepesi, niligoma, wakaniambia wewe shika tu hakuna madhara ili ukipata pesa uje tukupe ya saizi yako. Basi nikajaribu kuishika ili kuwafariji tu. Wakaniuliza umeionaje ni nyepesi au? Nikawaambia ndio lakini Mimi sina shida na BASTOLA nimekuja kupata Ushauri ili nichukue RB.

Nilienda ofisi husika nikahudumiwa na kuondoka hapo kituoni. Nimeshangaa majuzi watu wanasema Deo hachomoki kimaisha tulitumia Polisi kumshikisha BASTOLA akiinuka tunabambika na kesi.

Bila kujua walioshiriki kuratibu zoezi hilo ni aliyekuwa Kaimu Katibu wa UVCCM MKOA wa Mwanza, Mkuu wa wilaya aliyepita, kijana mmoja wa CCM Mwanza ambaye sasa ni Mkuu wa wilaya DSM na wana CCM baadhi kwa lengo la kuja kunidhalilisha mbeleni.

Kwa kitendo hiki RPC Mwanza, OCD na CID NYAMAGANA wanapaswa kujitathimini juu ya udhalilishaji huu. Kumbe watu wanasingiziwa kesi Mungu akiwainua wanawapa tuhuma walizozitegeshea.

Na laani kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Mwanza kunifanyia unyama huo mwaka 2013, kumbe mnashirikiana na wanasiasa kubambika kesi. Mungu anaona.

Wasalaam,

Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.
Mkuu!!!
Naomba ufungue kesi ya madai
 
Ngoja nitoke nje nikaangalie kama ni mwezi mchanga au mwezi mkomavu
 
Sasa baada ya kukushikisha bastola blazaaa...kuna kesi yoyote inayohusiana na matumizi ya bastola umewahi kuhusishwa nayo?
 
Ana haki kama amekuja kutambua lengo lao sasa lazima alalamike!!! Ana haki muachenii!! Ni kesi nzito sana hiyooo
 
Duu! aiseh! i wish i could be moderator! too much bored thread!
 

Attachments

  • peter-toshs-quotes-1.jpg
    peter-toshs-quotes-1.jpg
    23.9 KB · Views: 29
Hahahhaha..

Deo kwani tatizo nini mkuu hadi wanakutafuta namna hiyo.?
Uliwalia nini.?
Deo keshasema nchi inaendeshwa kwa machapisho yake, wanataka kumpoteza genious Deo ili waendelee kuendesha nchi kwa mawazo yake aliyoandika kwenye vitabu walivyomuibia.
 
Miss Natafuta usicheke, haya mambo yamewatokea sana watu. Tambua kuwa watu wakianza kuona ndani yako kuna potentiality fulani, hufanya kila nia ili wakumiliki kwa lengo la kuja kukutumia baadaye. Hata wewe katika pitapita zako huenda kuna sehemu watu tayari wamekutengenezea tukio usilolijua na kwa kuwa unawaamini na unajiamini ilikua ni rahisi kuliko uji kwa mwenye mapengo. In ten or tweny years to come usije kushangaa unahusishwa na jambo la ajabu ajabu kabisa.
Sasa itabidi tuwe tunatembea na glovu mifukoni.
 
Back
Top Bottom