Jeshi la Polisi Dar lakusanya Tsh milioni 918 ndani ya siku 10

Sasa PRA ndio inajaribu kuziba gap la bandari....ndio maana wanatakiwa kukamua kamuaa kila kituu kinachopita mbele yao! Target wafike mil 100 kwa siku.......watagawa hizo machine Tanzania nzima kazi iwe moja tu hadi tu park magari wataanzisha kodi ya parking hata ndani ya fence.......maana hakuna vyanzo vipya ubunifu umeishia kwa Mipango.....na Prof Faru Maghembe (Utalii)
 
Afu wanakusanyia sifa sana sana sana hapa Dar kakosa kadogo u hao
 
Wewe km hutaki kukamuliwa tii Sheria bila shuruti tu.
 
Mimi majuzi tu nilipigwa faini kwa siku tatu mfululizo. Lakini siku ya tatu nilitoa kwa hasira mpaka yule askari akaniomba radhi na kuniambia siyo matakwa yao bali ni agizo kutoka hewani na wanatakiwa kukaa na kitabu cha Notification kwa siku tatu tu, huwezi unabadilishwa Idara .

Tutaendelea kuumizwa sana
 
Hahahahah PRA angalia wait wanachungulia Sana ila police sasa hivi wanakomaaa nasikia wanawekewa target kama loan officers yani wanakung'ang'ania kweli kosa dogooo. Yani niko na sport light haijawa connected wanataka 30000 nikawaambia hiyo haiwaki ni kama decorations lakini wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…