Ukiona hivyo mkono mrefu wa matapeli umemfikia raisiNiaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje.
Hata mimi ninahisi hivyo...pesa ni kama shetani,pengine Jerry alishakula kwa urefu wa kamba yake kama MakambaNIMESHINDWA KUELEWA KWANINI WAMEMTOA KIJANA ALIYEKUWA ANAKWENDA KUMALIZA KERO ZA WIZARA HIYO,
-Isije ikawa walitegewa fedha za rushwa wakazipokea! Kigezo ambacho ni bashungwa tu alikiweza, alikataa!
Sasa kama amegusa maeneo ya vigogo waliomuweka?Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje.
Imagine mtu mwenye uthubutu, na uwezo wa kuwahenyesha matapeli wa ardhi kama Silaa unaenda kumtupa kwenye wizara ya hovyo ya habari ambayo ingefaa kupewa hata Mwana FA ili yeye Silaa abaki pale pale ardhi.Kwakweli watu wengi watakuwa wamesikitishwa Jerry kutolewa ardhi.
Hata sijui kwanini huyo mama kamtoa hapo wakati alikuwa anafanya vizuri kwa mtazamo wa raia wa wakawaida.
Inasikitisha sana.Wizara ya Ardhi ni miongoni mwa Wizara ngumu sana maana matajiri wengi na wenye nafasi zao walishakita mizizi kuhakikisha kila ajaye kwenye Wizara hiyo haharibu mifumo yao.
Kwahiyo akitokea Waziri asiyewasikiliza ni rahisi Washauri wa Mamlaka za uteuzi kushauri Waziri huyo aondolewe kwenye Wizara hiyo.
Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje.
Sababu itoke wapi mkuu. Wao wameona wamtoe eidha kwa kutofatilia kile alichokuwa anafanya, au kuna kundi la washauri wa raisi ambalo limeona kuwa masilahi yao yanakwenda kuguswa na Silaa kupitia wizara ya ardhi.Hivi kunasababu yoyote ile iliyotolewa kwa kuhamishwa W/Ardhi kwa aliyekuwa Waziri J Slaa?!
Huyo aliemuweka atakuwa analala ofisini tu huku akisubiri watendaji wa chini wamletee taarifa.Huyu Rais naye hata haeleweki aisee. Imagine, unamtoa mchapa kazi unamuweka jitu limejaza mahips tu.