mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,731
Mzee wa ma bridge na yeye ovyo kabisa,chukI zake za uwaziri kaingia nazo mpaka mahala pa takatifu???
mmh,king maker kwa maana ya mzee wa msoga
Sasa kama ulikuwa unafahamu uliuliza ya nni?haiko hivyo popote..
wapi huko,ama ni siriI just wish mgejua kuwa Jerry is somewhere preparing himself to rise in a bigger professional position. Don't always have prejudicial negative attitudes. At least I write with confidence kwamba Jerry Silaa hajapotea but us somewhere prepared for come back again
kakikundi gani hako mkuuBora kapotea mana kuna ka kikundi ka vijana flani flani hvi walikuwa wanajiandaa kushika inji hii
mama tibaijuka na kangi lugola walikuwa team lowassa umeona walicho vuna lakini.Waziri wa Kilimo Charles Tzeba alikua Team Lowasa.
Naibu Waziri Kilimo Ole Nashe nae alikua Team Lowassa.
wako wengi tu. ila makosa ya hao wengine kina Jery nawenzake ni makosa makubwa sana, hata mimi ntashangaa kama chama kitawapa nafasi tena
Lowassammh,king maker kwa maana ya mzee wa msoga
Siasa za bongo sio sasa wanamuachaje jerry ata ukuu wa wilaya ajapewa
Hii chai.... weka na maandazi kabisa!I just wish mgejua kuwa Jerry is somewhere preparing himself to rise in a bigger professional position. Don't always have prejudicial negative attitudes. At least I write with confidence kwamba Jerry Silaa hajapotea but us somewhere prepared for come back again
Mkuu nmepata kusikia stivu nyerereee yule msanii anasemaAlipata kura nyingi sana ukonga ingawa hakushinda. Nashangaa hakupewa hata ukuu wa wilaya! halafu kuna watu ambao walijisaliti hata wenyewe kwa vitendo na maneno yao (Wakati wa mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu) bado wakapewa ukuu wa Wilaya! Kweli siasa mchezo mchafu sana.
Rost tamu ndiye King makerLowassa
Mawazo ya kipuuzi kweli, na ukweli ni kwamba taifa hili litapiga makitaimu milele! Hivi kama Jerry ana uwezo wa kufanya kazi ni dhambi kwake kuwa na mtazamo kwamba Lowassa alikuwa chaguo sahihi, na kwamba kwa kuwa leo rais ni JPM hawezi tena kulisaidia taifa hili kwa kuwa rais ni sio Lowassa kupitia CCM? Kwanini tunatengeneza taifa la visasi?huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA