Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,784
Naomba unisaidie ni wapi labda nimesema Jerry Muro kateuliwa au kawa fulani? Nadhani Wewe sasa ndiyo uache kuwa na ' kiherehere ' kama ' Mshindo ' wa Kwanza wa ' Kupizi ' wa Mwanaume.
hapa chini umesemaje...
Duru za chini chini zinasema kwamba ' ameula ' mahala fulani na soon jina lake linaweza kubadilika na tukaanza kumuita kwa neno ' Mheshimiwa ' Jerry Muro.
hata hivyo sio lazima useme kila kitu, maneno yako yanaonyesha dhairi ni nini ulikua unamaanisha na hasa ukilinganisha na hali ya kisiasa iliopo nchini!!!! Man UP