Jengo la Makao Makuu CCM mkoa wa Manyara lililopo Babati laungua moto

Poleni sana CCM, hiyo ofisi iko kandokando kabisa na barabara na si mbali na ziwa Babati lakini pia msaada wa wananchi upo jirani sana. Nini chanzo cha moto huo
 
Back
Top Bottom