Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."

- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.

CC: swahilitimes
Kuna mwoyo unaitwa Tz kweli, karibu uraiani uone vitu vilivyo panda tunaishi kwa shida mafuta ni 3400, sio ya bure tena.
 
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."

- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.

CC: swahilitimes
Waafrika kwa unafiki bwana. Hapo amevimbiwa maposho na yeye na familia yake haijakosa lolote ndiyo maana anasema hivyo. Hajui kuna watu wanafanya kweli kweli na kula yao ni ya shida iliyosababishwa na malipo makubwa na huduma wanazopewa wao.
 
Huwezi kuichukia Tanzania wakati unaramba asali.., hautaona baya la aina yeyote.

Yeye kashauri tu sasa ni hiyari yako kuipenda au kutoipenda, mbona mwigulu alishauri tuhamie burundi na tukamsikiliza yaani viongozi wetu wanatushauri sana hawa wanatupenda.
 
Unaipenda Tanzania kwa kuwa umeshiba.

Huku watu hawajui hata wanaishi nchi gani

Acha kabisa, tozo juu, mafuta juu, vifaa vya ujenzi juu, afya iko ghali, unapenda kinachokupenda yaani tanzania yenyewe haitupendi tunaipendaje kwa mfano? Viongozi wetu wanapenda kutushauri sana yeye hapo na familia yake hana shida kila mwezi analamba pension asilimia 80% ya mshahara wa cdf aliepo madarakani, ulinzi kama kawaida, mafuta ya gari, na bado kila miaka mitatu atapewa gari mpya ya hadhi ya cdf aliepo madarakani, kateuliwa kua mwenyekiti wa bodi huko ngorongoro, atagombea ubunge kwao magu atapata na atalamba uwaziri, 2026 huyu ataachaje kuipenda nchi yake.
 
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."

- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.

CC: swahilitimes
Wasukuma ni watu makini sana, tutawapa tena nchi
 
Nimetamani ningeandika mm
 
Haya watanzania shime shime maoni yenu
Cdf aliyestaafu moyo wake ni Tanzania sie tulisha ambiwa tuende Burundi
Mie nakaribia kupanda boti hapa kibiri niende
 
Acha kabisa, tozo juu, mafuta juu, vifaa vya ujenzi juu, afya iko ghali, unapenda kinachokupenda yaani tanzania yenyewe haitupendi tunaipendaje kwa mfano? Viongozi wetu wanapenda kutushauri sana yeye hapo na familia yake hana shida kila mwezi analamba pension asilimia 80% ya mshahara wa cdf aliepo madarakani, ulinzi kama kawaida, mafuta ya gari, na bado kila miaka mitatu atapewa gari mpya ya hadhi ya cdf aliepo madarakani, kateuliwa kua mwenyekiti wa bodi huko ngorongoro, atagombea ubunge kwao magu atapata na atalamba uwaziri, 2026 huyu ataachaje kuipenda nchi yake.
Au ndo ile event niliyoiona leo pale kwenye kota za jeshi mwenge TRA
Maana nimeona wamedondoshwa mabakabaka sio mcheso
 
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."

- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.

CC: swahilitimes
Mwenyezi Mungu akubariki sana Mkuu wetu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu. Jenerali Mabeyo na wakuu wetu wengine wa vyombo vya usalama historia ya taifa hili itawaandika kwa wino wa dhahabu.

Mliidhihirishia dunia kwamba, Tanzania imepiga hatua kubwa ya Maendeleo ya Kisiasa (Political development), baada ya kusimamia Katiba katika kubadilisha uongozi baada ya kifo cha mpendwa wetu aliyekuwa Rais, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. John Magufuli.

Moja ya vigezo vya taifa lilipiga hatua kubwa ya maendeleo ya kisiasa ni kubadili awamu za uongozi kwa amani (Peaceful transition of Regimes).

#Tuendelee kuwaenzi wakuu wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom