Jenerali Mabeyo kaufanyia nini muziki wa Tanzania hadi kupewa tuzo ya heshima

Watu wengi kufikiri huwa ni tatizo kubwa sana.
Unaweza kushindwa kujua mchango wa jeshi kwenye sanaa ya muziki kweli?
Au kwa vile mmezoea nyimbo za "nishike ingiza vidole finyia ndani na uchafu mwingi kama huo ndio maana huwezi kuona mchango wa watu wastaarab
 
Kaka usizunguke zunguke

Tueleze uhusiano wa Gen Mabeyo na Muziki wa Tanzania.
Ebu tupe uhusiano hapo Mabeyo kaingiaje kwenye Tuzo??
 
Watu wengi kufikiri huwa ni tatizo kubwa sana.
Unaweza kushindwa kujua mchango wa jeshi kwenye sanaa ya muziki kweli?
Au kwa vile mmezoea nyimbo za "nishike ingiza vidole finyia ndani na uchafu mwingi kama huo ndio maana huwezi kuona mchango wa watu wastaarab
Onyesha uwezo wako wa kufikiri ujitofautishe nao, tiririka hapa uhusiano wa tuzo za muziki na Jenerali wa jeshi.
 
Watu wengi kufikiri huwa ni tatizo kubwa sana.
Unaweza kushindwa kujua mchango wa jeshi kwenye sanaa ya muziki kweli?
Au kwa vile mmezoea nyimbo za "nishike ingiza vidole finyia ndani na uchafu mwingi kama huo ndio maana huwezi kuona mchango wa watu wastaarab
Ndiyo ufafanue waelewe.
 
Wakuu salamu

Husika na Title ya huu uzi.

Tuzo za muziki za Tanzania zinatolewa usiku huu ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa Tuzo hizi nchini Tanzania, tuzo za mwaka huu zinatolewa kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es salaam na tayari zimeanza kutolewa ambapo Watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni Rais Samia, Mkuu wa Majeshi Mabeyo, Marehemu Ruge Mutahaba, Marehemu Bibi Kidude na Mwimbaji Diamond Platnumz.

KWA MUJIBU WA BASATA

Mh. Rais Samia ameupiga mwingi sana, miaka 7 ya Tuzo kukosekana ametenga zaidi ya bilioni 1.5 kwa ajili ya Wasanii na tasnia hii na sasa zinafanyika tena Serikali ikigharamia tukio hili kwa zaidi ya 90%

Tuzo kwa Marehemu Ruge: “Tuzo hii inatolewa kwa sababu Marehemu Ruge alianzisha na kuibua vipaji mbalimbali kwa Wasanii, atakumbukwa sana kwa mchango wake mkubwa kwenye muziki wa Tanzania hivyo Baraza limeamua kumpa Tuzo ya heshima”

Tuzo nyingine ya heshima imekwenda kwa Diamond Platnumz "Tuzo hii inatolewa kwake kwa sababu ni Msanii ambaye alileta mabadiliko katika tasnia kwa kuongeza thamani ya muziki hasa katika dhana ya sanaa ni biashara, Diamond ameonesha kwa vitendo na kwa kuwekeza zaidi kwenye matumizi ya digitali, kujibrand na kuseti viwango vya malipo vyenye tija katika kazi zake lakini kubwa zaidi kuuza muziki nje ya Tanzania"

Bi kidude hakuna asiyejua mchango wake katika ku push taarabu ya Tanzania kwenda kimataifa,huyu hakika anastahili.

Mkuu wa majeshi,hapa mwenye maelezo naomba anifafanulieView attachment 2173522
Hata kulida mipaka ya nchi ili wasanii wa muziki wawe na amani na kufanya shughuli zao za muziki kwa usalama, nalo ni jambo jema la kushukuru Gen. Mabeyo. After all yeye ndiye mkuu wa Brass band zote za vikosi vya ulinzi bila kuwa sahau ndiye mkuu wa Mwenge jazz band wana Paselepa.
 
Watu wengi kufikiri huwa ni tatizo kubwa sana.
Unaweza kushindwa kujua mchango wa jeshi kwenye sanaa ya muziki kweli?
Au kwa mmezoea nyimbo za "nishike ingiza vidole finyia ndani na uchafu mwingi kama huo ndio maana huwezi kuona mchango wa watu wastaaramch

Watu wengi kufikiri huwa ni tatizo kubwa sana.
Unaweza kushindwa kujua mchango wa jeshi kwenye sanaa ya muziki kweli?
Au kwa vile mmezoea nyimbo za "nishike ingiza vidole finyia ndani na uchafu mwingi kama huo ndio maana huwezi kuona mchango wa watu wastaarab
Mchango gani ndugu yangu,General wa jeshi ambaye hata hobby ya mziki hana,hii ni mara ya kwanza duniani.
 
Back
Top Bottom