Wakati wa Mkapa, Ulimwengu alipewa misukosuko sijui iliishaje ikiwemo ile eti kuwa si Mtanzania,Huyu Jenerali huyu!!
Shauri yake.
Mkuu viwanda sio uyoga useme Kesho uamke tu uvikute, na hakuna Rais duniani anayejenga viwanda peke yake hivyo kumlaumu Magu unakua unamuonea tu, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kushawishi potential investors waje kuwekeza, hilo linafanyika. Mkuu kaamua kufanya viwanda kama moja ya vipaumbele vyake nadhani atafanikisha tu with time.Mkuu sasa hv aibu imewakumba, na nyie ndio mliochangia kumpotosha mkuu, alipokuwa anafanya mambo bila kufuata utaratibu mliona sawa mkidhani anawakomoa wapinzani. Sasa umeme umepanda, je ni hao mafisadi unaowataja? Hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa kwa wakati wake. Maamuzi anachukua mwenyewe hata yanayohitaji maamuzi ya wengi (bunge). Unasikia mishahara haipandi na waliojiriwa kawatoa lakini anahubiri hapa kazi tu. Ukimuuliza kazi ziko wapi anasema watu wachape kazi kwelikweli. Saa hii hata nyie wapiga tarumbeta mmebaki kusema sijui ufipa, mara wachaga wezi, lakini hakuna anayeonyesha kiwanda!!
Kwani kwao mkuu?Too soon Ulimwengu atarudishwa kwao...!!
Wap kwao?Kwani kwao mkuu?
inamaana hujui uhusiano wa bei ya umeme na viwanda?Mkuu viwanda sio uyoga useme Kesho uamke tu uvikute, na hakuna Rais duniani anayejenga viwanda peke yake hivyo kumlaumu Magu unakua unamuonea tu, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kushawishi potential investors waje kuwekeza, hilo linafanyika. Mkuu kaamua kufanya viwanda kama moja ya vipaumbele vyake nadhani atafanikisha tu with time.
Vile vile katika maelezo yako umeshindwa kuonesha uhusiano was moja kwa moja baina ya maamuzi ya Magu na kupanda kwa bei ya umeme kama unavyodai!
Duh!kumbe wanatumbua kansa..........Jenerali leo kanichekesha kweli.Anasema hata kutumbua kuna Magonjwa yake maana huwezi kutumbua Kansa na kujinasibu kwamba umemaliza Ugonjwa.
Kumbe unadhani? Maana yake unasema kitu usichokuwa na uhakika nacho..!Mkuu viwanda sio uyoga useme Kesho uamke tu uvikute, na hakuna Rais duniani anayejenga viwanda peke yake hivyo kumlaumu Magu unakua unamuonea tu, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kushawishi potential investors waje kuwekeza, hilo linafanyika. Mkuu kaamua kufanya viwanda kama moja ya vipaumbele vyake nadhani atafanikisha tu with time.
Vile vile katika maelezo yako umeshindwa kuonesha uhusiano was moja kwa moja baina ya maamuzi ya Magu na kupanda kwa bei ya umeme kama unavyodai!
Hilo si lilishawahi kumkumba enzi za gazeri la Rai..??Soon time will tell! Jenerali mtaambiwa sio Mtanzania
Awamu hii tunaendelea kushuhudia kauli, na tungo za kila aina zinazofadhiliwa na mafisadi!