Mpira ni kwa kikwenu kikwetu ni mupira mukulima mufanyakazi hatuna m katika vocabulary yetumupira = mpira
Hawazingatii malezi ya mtotonatakaezaliwaHiyo ni Sheria ni ya kipumbavu imetungwa na wabunge wapumbavu wa ccm.
Angalizo, upumbavu siyo tusi ila ni sifa, ni kinyume cha hekima.
Eti miaka 30 ili iwe fundisho na Kwa wengine, mmeshafundisha wangapi? mbona hadi leo wanafunzi wanaendelea kupewa mimba tu na hakuna anayejifunza?
Wasichana wana haki ya kufanya mapenzi maana nao ni binadamu, ila watumie kinga.
Kuwabana ndo inasabisha mimba, wangekuwa wanapewa Uhuru wasingekuwa wanapewa mimba.
Kumfunga miaka 30 ni ukatili Sana kwani muuaji huyo?
Hicho ni kifungo cha miaka miwili tu inatosha, jela si mchezo bana.
Mafisadi yanadunda mitaani tu halafu Mnaonea watoto wa maskini.
21 + 15 = 36
Miaka ya lumande 30 yrs is equivalent to its half yrs
Kama ni Wairaqwi wanamuonea bure jamaa ile kabila ni chafu hata dogo hakukuta Bikira hapoHicho kijiji cha Wairaqwi walipofika Maswa salamu zao wanapoitikia ni Saayu Ukiwaambia Saitaa wao Saayu ndio likawa jina lao na kijiji chao kimepewa jina hilo dah.. Safi sana... Nilisimuliwa tu ila ni kweli Wairaqwi Wa Maswa.
SawaMpira ni kwa kikwenu kikwetu ni mupira mukulima mufanyakazi hatuna m katika vocabulary yetu
Vipi na huyo aliyekosa haki yake yamsingi ya kusoma?
Si alitaka mwenyewe na nyege zakeVipi na huyo aliyekosa haki yake yamsingi ya kusoma?
Hapana mkuu Tabia ya mtu na sio kabilaKama ni Wairaqwi wanamuonea bure jamaa ile kabila ni chafu hata dogo hakukuta Bikira hapo
Mimi huwa nasema kwa kweli utungaji wa sheria uhusishe Psychologist, madaktari na watu kama hao la sivyo, itakuja kugundulika ikiwa too late kwamba sheria ilikuwa si sahihi. Worse enough ni miaka 30 jela. Kwanza nieleweke sifagilii kabisa mambo ya ngono lakini hii sheria nahis kama ina mushkeri. Ukiangalia historia za wengi tena hata humu JF huwa wanasema mtoto wangu nilimzaa nikiwa labda form one/tw.four etc. je alizaa na msichana wa miaka mingapi?!?!?!?!?! Ukichukulia sheria hii na wote wanaojihusisha na mabinti wa chini ya miaka 18, itabidi jela ziongezwe! Mjadala mpana unatakiwa kuhusu sheria hii!Hapo issue ni sheria lakini unakula wenyewe waliridhia kufanya sex kwasababu miili yao inaruhuru kufanya hivyo kibaolojia.
Ndiyo maana Kenya wamekuja na mchakato wa kubadili sheria ili kuruhusu kufanya tendo la ndoa kisheria liwe kuanza miaka 16 kwani wengi wanafanya kwa kujificha.
21+15=36 atatoka kijana ila genye iheshimiwe aisee alisahau mpaka kondom21 umri + 30 jera = 51 duh
Kweli kabisa, wengine hawasemi kama ni wanafunzi.Si alitaka mwenyewe na nyege zake
Kwani alilazimishwa ,kama ni haki ni yeye aliyejikosesha kwani hajui siku zake
Angekuwa amebakwa sawa ila mchumba wake na huenda alikuwa proud kumuita my boy friend
Angekuwa anajua haki zake za kusoma ange stay out of mapenzi