daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 424
Nakumbuka tuliimba ID AMIN akifa mimi siwezi kulia nitamtupa Kangera awe chakula cha Mamba,hata JECHA aangalie asije akaimbiwa wimbo huo na Wazanzibar wenzake
Mkuu huyu mama ameshafariki? DuhhHebu Jecha ajiulize yule mwanamama Asha Bakari aliyetamba ndani ya BMK mwaka 2014 kule Dodoma kuwa Zanzibar haiwezi kutolewa na vijikaratasi vya kupigia kura yuko wapi hivi sasa?
Tayari ametangulia huko Ahera hivi majuzi.
Kwa hiyo watawala wetu wanaofanya mambo kama vile wataishi milele hapa duniani watapata ujumbe mzuri hapo.
Kwa hiyo Jecha atambue kuwa malipo ya 'uharamia' anaowafanyia wazanzibari ataanza kuyapata hapa hapa duniani na hatimaye yatakamilishwa ahera.
ndio yupi huyo mkuu askari Bakari aiseeeeeAsha Bakari yuko wapi? Hukumu itatolewa hapa hapa duniani na wala sio ahela!!!
Kwani wamesema Chama gani kitafanya kampeni????? Si wote hawafany hiyo kampeni????Kweli ukiyashangaa ya Firauni utayaona ya Jecha.
Eti anasema uchaguzi huo wa marudio hautakuwa na mikutano yoyote ya kampeni!
Yaani hiyo ndiyo demokrasia ya Jecha na wahafidhina wa Sisiem.
Kwa hiyo huo uchaguzi wa marudio una lengo tu la kukamilisha azma yao ya kumuapisha 'Nkurunzinza' wao wa Zenji.
WANI HUYU NAE ANALINDWA.HUU NI MUDA WA JECHAKwani wewe siku zikifika hutamfahamu Mungu ni nani?
ALE KAMAMA ZANZIBAR KAMEIACHA,LICHA YA KUJIDHALILISHA VILE BUNGENI.MKUU KUNA MISIBA MINGINE NI MUHIMU JAPO KUFA SIO KUZURIHebu Jecha ajiulize yule mwanamama Asha Bakari aliyetamba ndani ya BMK mwaka 2014 kule Dodoma kuwa Zanzibar haiwezi kutolewa na vijikaratasi vya kupigia kura yuko wapi hivi sasa?
Tayari ametangulia huko Ahera hivi majuzi.
Kwa hiyo watawala wetu wanaofanya mambo kama vile wataishi milele hapa duniani watapata ujumbe mzuri hapo.
Kwa hiyo Jecha atambue kuwa malipo ya 'uharamia' anaowafanyia wazanzibari ataanza kuyapata hapa hapa duniani na hatimaye yatakamilishwa ahera.
Yeye halindwi kama JechaK
WANI HUYU NAE ANALINDWA.HUU NI MUDA WA JECHA
RubbishNilikuwa siamini kumbe jamaa analindwa kuliko unavyofikiria yaani ulinzi anaopewa ni kuliko hata ule wa Obama wa Raisi wa marekani,inadaiwa kisa na sababu kwanza asije akakimbia nchi pili asije akapigwa na wananchi wenye hasira kali na zaidi ambalo ni kubwa kuliko yote isije akakimbilia kwenye vyombo vya habari na kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi wa Zanzibar,nyendo zake zinaratibiwa hapo alipo hana tofauti na ng'ombe aliefungwa kamba ya pua na waliemfunga kamba hio ni wale mnaowasikia wakipiga makele uchaguzi urudiwe.
LAHAB-111Hii dhambi ni zaidi ya Yuda kumsaliti Yesu na Huko kwa Mungu CCM watakuwa kuni