Jecha analindwa zaidi hata ya Obama

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,745
Nilikuwa siamini kumbe jamaa analindwa kuliko unavyofikiria yaani ulinzi anaopewa ni kuliko hata ule wa Obama wa Raisi wa marekani,inadaiwa kisa na sababu kwanza asije akakimbia nchi pili asije akapigwa na wananchi wenye hasira kali na zaidi ambalo ni kubwa kuliko yote isije akakimbilia kwenye vyombo vya habari na kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi wa Zanzibar,nyendo zake zinaratibiwa hapo alipo hana tofauti na ng'ombe aliefungwa kamba ya pua na waliemfunga kamba hio ni wale mnaowasikia wakipiga makele uchaguzi urudiwe.
 


kwa hiyo?
 
kwa hiyo?
Ataanza kufa mmoja mmoja !
Wamlinde mpaka kiama la si hivyo wananchi wenye hasira kali lazima watamnadia mwizi ,stayle za zenji hizo,wanakunadia mwizi tu,ukifuatiliwa na vitofali vikikuelekea kama vinatoka kwenye multiple rocket launcher !
 


Hata wakimlinda KIVUITU alikufa kama mbwa hapo jirani. Pamoja na hila zote ili Kibaki aendelee.

Wanadamu maisha yetu mafupi tuishi kwa kutenda haki uwe HURU
 
Siku zote wanaolindwa vikali ni wale wasiotenda haki kwakuwa wanaendekeza dhuruma, ukitenda haki utapendwa na kila mtu na wala hutakuwa na adui, na wala hutahitaji ulinzi mkali kwakuwa wote wanaokuzunguka ni rafiki zako wanafurahia uyatendayo
 
tumia mbongo unafananisha obama na mjinga huyo..
 
Dhuluma haijawahi kushinda kwa muda wote..ni suala la muda tu..
 
Alifanya makosa makubwa sana nafikili hata yy anajirauhu kwa kisa alilofanya nafsi inamsuta kwa kuwalinda ccm
 
HIZI SUPU ZA PWEZA MNAZOKULA WAKATI HATA MIAKA AROBAINI HAMJAFIKISHA MATOKEO YAKE NDIO HAYA
 
Walisahau kumlinda yule mama wa vikaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…