Je, Waziri Mkuu amelidanganya Bunge na Taifa kuhusu "Marufuku ya mikutano ya Siasa"?

Nimekuuliza kwa heshima na taadhima na wala sikutumia kejeli mkuu. Inawezekana mimi ni mmoja katika hao watu ambaye sina uelewa mzuri. Asante kwa pole. Ila sio kila mtoa pole ni muungwana.
NA MIMI NIMEKUJIBU KWA HESHIMA WALA SIJATUMIA KEJELI, BUT ANY PSYCHOLOGIST SHOULD REALIZE YOUR INTENTION.
 
Inaonyesha hali sio nzuri sana Kwenye baraza tukufu. Malaika wanagongana. Malaika mkuu (Maja) kapoteza memory flash, Malaika Gabriel(Nape) mpasha hatari kazima mic. Malaika mlinzi kabomoa Geti, Malaika wote sasa wanapiga kelele. Nini hatima yao?
UASI MKUBWA NA PENGINE WATAIKOSA MBINGU
 
Alipokuwa akijibu swali la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,alisema alipokuwa anatoa tamko lake jimboni kwake hakutoa kama waziri mkuu bali mbunge.

Pili alisema aliyekosea ni mwandishi wa habari hizo kwani hakuendeleza habari hizo yaani next day story.

Maswali ya kuhoji hivi alipokuwa amefika jimboni kwake alijivunia uwaziri mkuu na kuawaambia wananchi kwamba anaongelea kama mbunge?

Wananchi watajuaje anapotembelea jimbo lake kwamba amekuja kama mbunge si kama waziri mkuu?

Kama hakumaanisha kuzuia mikutano na shughuli za vyama vya siasa ni lini alitoa hadharani kutoa ufafanuzi baada ya waandishi kuposha kauli yake?

Tujadili kwa pamoja...
Nyie nae hamna dogo? sasa si keshasema hakapiga marufuku mamb ya mikutano ya siasa nchini,! sasa mnataka nini?
 
Back
Top Bottom