Je, Watanzania tumeridhika kabisa na Dharau, Kejeli na Matusi anayotufanyia sasa Tapeli wa Kiimani 'Kiboko ya Wachawi' akitokea huko Kwao Congo DR?

Kama mnaendelea kuamini Mwamposa, Geodarvie na wengine kama hao ni "manabii" wa kweli, basi Kiboko ya Wachawi hana hatia!
 
Kubaini na kukubali udhaifu ndio hatua ya kwanza ya kutatua changamoto yoyote duniani wazungu wanaita ownership of the problem. Kuna matukio kama hayo yalishatokea na yanaendelea kutokea, hivi sasa wakati natoa comment hii Kuna watu wanapigwa lakini hatujifunzi, kwa nini. ?
Kwa hiyo Ili tutatue hili tatizo kwanza bado sisi Watanzania LAZIMA TUKUBALI wengi wetu ni WAJINGA
Angalia yaliyowahusu au yanaowahusu watu hawa

Babu wa Loliondo
Mchungaji Mwingira
Mzee wa Upako
Mchungaji Kakobe
Mtume/Nabii Mwamposya
Sharifu Majini
Kibwetele
Mr. Kuku, Zanzibar
DECI Mabibo
Gwajima
Na wengine

Hao mtaji wao mkubwa ni ujinga wetu. Hawana jinsi wanaweza ku survive ikiwa sisi tutakuwa werevu

Baada ya kukubali sisi ni WAJINGA, then tunafanya nini kutoka ktk ujinga huu ?

Serikali
Inaonekana haina shida na hawa watu na ndio maana wanaendelea ku survive. Kumbuka tukio la Moshi (Mwamposya)baada ya watu kadhaa kufa tulitarajia serikali ingechukua hatua lakini hicho hakikutokea na bado Mshua anatamba kwenye Majukwaa. Tunajiuliza
Kuna udhaifu ktk kusajili haya Makanisa/ Taasisi ?
Kuna rushwa ?
Kuna maslahi ya kisiasa wakuu wetu wanayapata kushindwa kuwachukulia hatua ?
Kuna udhaifu wa Kisheria ambao wanautumia kama uchochoro kiasi inakuwa ngumu kuwawajibisha ?
Ukiangalia tukio la Moshi baada ya kutokea tu. Waziri wa Home Affairs+ RPC wa Kilimanjaro, walikuwa wako tayari kuchukua hatua. lakini walivyomsoma boss wao JPM alionekana Hana shida na Mshua, hivyo jamaa (RPC + Waziri) wakapotezea hii issue
Yale makumi ya watu waliokufa kwenye lile tukio ikaonekana kama kifo cha panya tu
Na hii love affair haikuwa tu kwa Mshua wa Kawe bali ilikuwa kwa Gwajiboy + Mzee wa Upako

Jamii

Bado jamii yetu Iko nyuma ktk masuala ya kuwasiliana/kufunguka juu ya changamoto tunazokutana nazo
Kwa mfano hata humu JF kungekuwa na platform ya watu walioumizwa na matapeli wa aina hii
Motivational speakers kama Nanauka tulitarajia aje na vitu vya kutahadharisha wananchi wa kawaida na mada kwa mfano "UTAJUAJE KANISA/MCHUNGAJI NI MPIGAJI"
Katika suala hili nampa big up Mchungaji Hananja

Media

Kwanza nilipopata tu taarifa za huyo jamaa Kiboko ya Wachawi nikajiuliza media ambayo ilikuwa Ina host vipindi vyake hawa kuwa wanatathmini maudhui yake. ?
Kwa muda gani amekuwa akiendesha vipindi ?
Hapa sasa ndio naamini kwa kiasi kikubwa sana Mauaji ya kimbari ya Rwanda yalichochewa na media especially Radio

Education System

Kwenye mfumo wetu wa elimu za dini yaani EDK(Elimu ya Dini ya Kiislamu) + Divinity zitiwe mada maalum jinsi ya kung'amua Matapeli waliojificha kwenye kichaka cha dini
Lakini pia inaweza ikawekwa hata kwenye Civics/General Studies

Wakatabahu
Umeandika mambo mazuri Sana nakubaliana na wewe..

Askofu gwajima muondoe kwenye hiyo orodha yako pale ubungo chai Bora ni taasisi yaan gwajima Hana mahubiri ya kukamua waumuni sadaka..
Pale sadaka huwa ni moja TU pia gwajima kafanikiwa kutengeneza MEGA CHURCH
Pale ubungo chai Bora kwa gwajima Kuna church ministries nyingi na zimekua msaada mkubwa Sana kwa watu mbali mbali
Kuna madarasa ya uongozi pale yaan mtu ana anza Kama muumuni wa kawaida AKIPENDA anaanza madarasa Kama potential shepherd mpaka kua askofu
Fanya utafiti kuhusu Gwajima utagundua mengi Mimi nimefanya studies

Kuhusu mwamposa yeye nimeshuhudia kwa macho yangu watu wakipona na kufanikiwa kupitia yeye sijajua mwamposa anakauchawi au ni mungu wengi wamepokea na tumeona matendo makuu ya mungu kupitia mwamposa

Kiboko ya WACHAWI sikuwai muamini sijawai kumfuatilia kabisa so siwezi kumzungumzia pole nyingi kwa wote walio tapeliwa na kiboko ya WACHAWI
 
Je unazungumziaje situation ya Gwaj boy kula toto lile la kimanyema live live mpaka leo ukiingia kwenye website za video za wakubwa unakutana na tu clip twake?!
 
Je unazungumziaje situation ya Gwaj boy kula toto lile la kimanyema live live mpaka leo ukiingia kwenye website za video za wakubwa unakutana na tu clip twake?!
Alifanyiwa ""character assassination"" Ila wali fail.
Gwajima ni mwanaume kwaio mwanaume kuichakata mbususu/papuchi anayo itaka ni Jambo la kawaida Ila issue kujirekod video na picha kuvuja hapo ndipo tatizo.
All in all,
Wabaya wa gwajima walitaka kummaliza na sio Mara ya kwanza refer TUHUMA ZA KUUZA MADAWA YA KULEVYA

Hayati magufuli alipata kusema vita vya kiuchumi ni ngumu mno..
 
Nina uhakika nakuzidi ufahamu wa mambo mengi ya dunia hii utakuja kuyajuwa baadaye sana.

Mimi nimeukataa utapeli wa ccm unaamini naweza kutapeliwa na watu wa dini?

Kwa taarifa yako mimi ni muumini wa kanisa la Roman katoliki mpaka leo, ila namuelewa vizuri Mwamposa, Yesu yupo pale.

Halafu wengi hamjui chochote zaidi ya kufuata mkumbo wa chuki.

Mwamposa hana kanisa, wala Mwamposa haubiri dini, bali Mwamposa ana huduma (ministry) na siyo Kanisa ( church)

Hizo rituals za mafuta na maji ya upako unaweza kufanya hata ukiwa nyumbani kwako ukanunuwa chupa ya maji na ukajiconnect na madhabau yake kwenye tv, ukishangaa hili washangae wanaoswali kuelekea kibra.
Narudia tena yale ni advanced mazingaombwe yanayo letwa kwenye injili, unasema unanizidi vitu vingi kwenye imani nikuulize ni mwamposa tu tz na pengine duniani anayeweza kuyafanya mafuta yawe na baraka wa kuondoa mikosi na laana za watu😀😀 mkitekwa akili muwe mnatekwa pekee yenu
 
Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
Kashajipigiaaa wajinga mkuu
Hii ina wajinga wengi sana
Mwanzoni tuliwaambia sana
Hawakusikia,sana sana wanatuponda
Acha wajinga wapigwe tu na najuwa wake na madem zao kawala sana piaaaa

Ova
 
Narudia tena yale ni advanced mazingaombwe yanayo letwa kwenye injili, unasema unanizidi vitu vingi kwenye imani nikuulize ni mwamposa tu tz na pengine duniani anayeweza kuyafanya mafuta yawe na baraka wa kuondoa mikosi na laana za watu😀😀 mkitekwa akili muwe mnatekwa pekee yenu
Huna akili.
 
Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.

Ila mkuu alikukosea huyo jamaa? Mimi alinikosea sana kwa kufanya ramli chonganishi. Nikashangaa Dada, daktari wa Muhimbili anamtetea.
Dawa yake ni kumroga yule mganga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa Mwamposa Yesu yupo pale, kwanza halazimishi mtu kufika Kawe hata kwenye tv unapokea mibaraka, Matomaso ndio wanasafiri mpaka wafike live Kawe.

Ni makosa kumuweka Mwamposa kwenye kundi la kina Kiboko ya Wachawi, ukifuatilia mahubiri yao ni rahisi tu kumtambuwa yupi ni Apostle wa kweli.
Mjinga mwingine huyu hapa
 
Mjinga mwingine huyu hapa
GENTAMYCINE nilishamdharau huyo Kubwa Jinga wa Jamvi tokea zamani sana na hivi karibuni ndiyo aliharibu kabisa kwa kutoa Boko la Mwaka (kwa Kutudanganya) kuwa miaka ya 70 aliyokuwepo Mpumbavu Mmoja Yeye Tanzania na Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa hakuna Hospitali ya Agha Khan na kwamba zilizokuwepo ni mbili tu yake aliyozaliwa ya Walalahoi ya Ocean Road na Muhimbili.
 
Back
Top Bottom