Je, wasumbuliwa na kunguni..?usihofu kumteketeza ni rahisi sana

hawa askari jeshi nouma inahitajika kampeni ya miezi 6 mpaka mwaka kuwaangamiza wote na wala hawanaga dawa maalumu iliyothibitika kuwaangamiza 7bu ukitumia dawa ya aina moja kwa muda mrefu baadhi hufa ila wengine huzimia na wakizinduka hiyo dawa wanakuwa washaifanyia utafiti ktk maabara zao so wanakuja ANTVIRUS yao so hta ukiwaanyunzia tena hawafi na hata kuzimia hawazimii tena
sasa wewe unatakiwa ufanye kampeni ya kuwaangamiza tu ukisikia dawa hii tumia ile tumia kama hvyo mafuta tumia sijui mtu kakwambia mchanganyiko gan tumia tu ila hakikisha kampeni ya mwaka nzima ndo wanaweza kuisha lk ttzo moja unaweza ukawamaliza wote kumbe kuna siku ulimbeba mmoja ulipoenda kwenye gheto la mshkaji wako ukamuaacha sasa siku unaenda kule wanezaliana una mbeba tena unamrudisha gheto mwendo mdundo wanaanza tena 7bu hawa wapumbavu wanaweza kukausha hta miezi 6 wakifanya tafiti zao araf siku ghafla wanaibuka yaan ni noma sana

yaan huyu kiumbe ana uwezo wa kukaa hata mwaka nzima bila kura na akadunda fresh
yaan wanasayansi mabingwa wa dunia wamemvulia kofia ndo mana huko UGANDA jeshi limeamua kupambana na kunguni na zana za kivita za KIBAOLOJIA na KIKEMIA
 
Nashukuru wachangiaji waliotafsiri neno mjali ni kipimo kidogo cha kupimia mafuta ya taa au ya kula katika maduka ya rejareja wengine huita koroboi au kijiko
 
Ukipenda kujua kwa uhakika mkamate kunguni mmoja akiwa hai mdondoshee tone la mafuta ya taa hachukui hata dakika moja anakua amekufa. ... mchutnguze kwa karibu ujiridhishe jaribio limefanikiwa...?
nina uhakika na hili kwa kuwa nimefanya majaribio mengi na kujiridhisha kuwa mafuta ya taa ni ufumbuzi. tosha wa kumuangamiza huyu baradhuli kunguni
 
Mkuu hujawahi kupanda treni na ukakaa lile behewa la nani kajamba kuna kunguni wengi mle au baadhi ya viti vya ku share wakati wa usiku hujitokeza kutafuta mlo sio iwe ni chumbani tu hata public place wapo tunawajibu sisi sote kupeana mbinu za kumkabili adui kunguni
 
Kunguni wamenidhalilisha sana.Sijui wameingiaje humu chumbani kwangu.Ninaishi chumba kimoja mkoani nikijishikiza kwa muda.Basi wife kaja kunitembelea ndio akawagundua.Sasa baada ya wiki 3 akaenda kwao kutembea akitokea kwangu.Heh si ndio na kwao wameingia.Basi analalamika kawabeba kwangu.Silali wanang'ata balaa.Nimeskia ngao inaua ila haipatikani siku hizi.nifanyeje?
 
Watu wengi wanakimbilia kutafuta sumu ya kuwauwa hawa wadudu kabla hata ya kujua kwanza hasa hao wadudu wako wapi na wapi na hujificha wapi na ndiyo maana huangaika na kutaka kujua ipi sumu nzuri wakati hata maji ya moto tu yanafaa,hawa usipojua chimbo lao unaweza hata ukabilisha kitanda na ukashangaa usiku wapo kama kawaida.

Kwa sababu wewe unaweza ukawa unaangaika na kitanda kumbe wao wamejificha juu huko ya ceiling hivyo usiku ukiweka chandarua tu wao wanashuka kupitia chandarua au na kupitia ukuta maana watu wamezoea kuweka kitanda hadi kiguse ukuta,sasa usipojua haya utabadili sumu hadi ukome.
 
Haya maangamizi ili kutokomeza kabisa inabidi ifanyike operation tokomeza kunguni la sivyo hawataisha
Unapanga chumba unaua wote siku ya pili kaletwa na mshikaji chumba cha pili
Kama kuuwa inabidi ifanyike nyumba nzima
 
Jamani Kunguni wapo machimboni huko🙆🙆🙆..unaweza hisi ni siafu..binafs nilikua siwajui..wanakera ....nahis dawa nimepata sasa..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom